Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,761
- 3,835
- Thread starter
-
- #21
Wasipopata njaa TZ hali inakuwa mbaya sana. Wanunuzi wakuu wa mazao yetu ni wakenya. Kujimwambwfy wakati hujui ku export.
Kwani maisha ni kushiba tu?
Mbona Japan hawalimi ila ndio top 100 most developed contries wamo.
Usiombe wakenya wajitosheleze chakula parachichi, mahindi tutalisha ng'ombe.
Mwaka huu wanapigwa mafuriko, mwakani wapigwe nzige.
Kweli umegundua kuwa umeandika upupu.
1. Unaweza kuniambia ni kwa kiasi gani Tanzania tuna neemeka kwenye kilimo kupitia Ziwa Victoria, Tanganyinyika, Rukwa, Nyasa, Eyasi nk??
2. Je kilimo ni maji tu? Hujui kuwa ardhi kubwa ya Kenya ni jangwa?
Wanasiasa watapata nini wakihakikisha uhakika wa chakula kwa raia wao?
Kwenu Wakenya??
Kenya water bodies Maziwa
1. Lake turkana
2. Lake victoria
3. Laki kisumu
4.
5….Ongoing list on picture below
Bahari
1. Bahari ya hindi
Mito
1. River Tana
2. River athi
3. River kerio
4. River Galana
5. River Turkwel
Najiuliza sana hili swali nakosa jibu Je kuna justification yyte juu ya hili?
View attachment 2834522
View attachment 2834543
View attachment 2834546
Afu utasikia Kenya is more developed than Tanzania???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii n ignorant au nini
TAGS
[mention]kambarak [/mention][mention]emc2 [/mention] [mention]mwathadan [/mention] [mention]kambalanick [/mention]
Hata kwao suala la njaa mara nyingi huwa na la kisiasa zaidi ili kuwapatia wajasiriamali wa tenda wanaokula na watawala upenyo wa kuagiza vyakula kutoka mbali kama Mexico na Brazil na kufanikisha upigaji pia.Si kweli si umeme upo kisiasa zaidi
Ardhi yote ya Uganda inafaa kulima ila Kenya nusu ya Ardhi tu ndio inafaa kwa matumizi ya Kilimo.Kwa ramani hyo inaonekana Uganda na Kenya ziko almost sawa kwene ardhi inayofaa kilimo cha mahindi lakini bado Kenya haijitoshelezi ki chakula wakati Uganda ipo self sufficient
Nb: This is my personal opinion No Offense
Wee unauliza makofi na polisi. Ukienda polisi usipopigwa vibao ndiyo unashangaa, Maana si kawaida. Lakini vibao kwao ni polisi. Ndivyo ilivyo kwa Kenya. Njaa ndiyo home kwao.
Umesahau mlima kilimanjaro
Egypt ilianzisha kilimo cha kisasa cha jangwani.Well, kuwa tu na njaa kila mwaka ni aibu ni kuonyesha kuna shida so wanasiasa pia inaonesha hawana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya kawaida