Kwanni Kenya kila mwaka inapata njaa na ukame wakati ina ziwa Victoria na Turkana?

Kwanni Kenya kila mwaka inapata njaa na ukame wakati ina ziwa Victoria na Turkana?

Wasipopata njaa TZ hali inakuwa mbaya sana. Wanunuzi wakuu wa mazao yetu ni wakenya. Kujimwambwfy wakati hujui ku export.
Kwani maisha ni kushiba tu?
Mbona Japan hawalimi ila ndio top 100 most developed contries wamo.
Usiombe wakenya wajitosheleze chakula parachichi, mahindi tutalisha ng'ombe.
Mwaka huu wanapigwa mafuriko, mwakani wapigwe nzige.

[emoji23][emoji23][emoji23]hii business formula nimeipenda

Lakini ni aibu sana nchi inayojiita the giant of East africa kuwa kwene headline zahivo!
 
Kweli umegundua kuwa umeandika upupu.
1. Unaweza kuniambia ni kwa kiasi gani Tanzania tuna neemeka kwenye kilimo kupitia Ziwa Victoria, Tanganyinyika, Rukwa, Nyasa, Eyasi nk??

2. Je kilimo ni maji tu? Hujui kuwa ardhi kubwa ya Kenya ni jangwa?

Ni kweli mkuu,,, tunaweza tusiwe tunaneemeka kwasababu pia hatuna uhitaji uo mazao yanayozalishwa kwa kutegemea mvua ni mengi sana na hatujawai kuwa na uhaba wa chakula.

Pia ebu jaribu kuongea kwa takwimu hapo uliposema ardhi kubwa ni jangwa!! Angalia hyo rangi ya blue bahari ambayo ndio kilimo cha mahindi utagundua kwamba Kenya ina ardhi kubwa ya kilimo cha mahindi kuliko hata Uganda!!
Ushawai sikia uganda imekumbwa na njaa
IMG_2500.png
 
Wanasiasa watapata nini wakihakikisha uhakika wa chakula kwa raia wao?

Well, kuwa tu na njaa kila mwaka ni aibu ni kuonyesha kuna shida so wanasiasa pia inaonesha hawana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya kawaida
 
Kwenu Wakenya??

Kenya water bodies Maziwa
1. Lake turkana
2. Lake victoria
3. Laki kisumu
4.
5….Ongoing list on picture below

Bahari
1. Bahari ya hindi

Mito
1. River Tana
2. River athi
3. River kerio
4. River Galana
5. River Turkwel

Najiuliza sana hili swali nakosa jibu Je kuna justification yyte juu ya hili?

View attachment 2834522
View attachment 2834543

View attachment 2834546


Afu utasikia Kenya is more developed than Tanzania???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii n ignorant au nini

TAGS
[mention]kambarak [/mention][mention]emc2 [/mention] [mention]mwathadan [/mention] [mention]kambalanick [/mention]

Hutawasikia wakija hapa kuongea wala kujitapa[emoji23][emoji23][emoji23]wao wamezoea Kingereza
 
Sehemu kubwa ardhi ya wanalima maua na matunda ya kuuza nje ya nchi, pia suala la njaa au bei kubwa za chakula kwa nchi za Africa sio sana kuhusu uzalishaji bali usambazaji, siasa na ufisadi. Hiyo Kenya wakati maeneo mengine yana njaa unakuta maeneo mengine vyakula vinaharibikia mashambani.
 
Si kweli si umeme upo kisiasa zaidi
Hata kwao suala la njaa mara nyingi huwa na la kisiasa zaidi ili kuwapatia wajasiriamali wa tenda wanaokula na watawala upenyo wa kuagiza vyakula kutoka mbali kama Mexico na Brazil na kufanikisha upigaji pia.
 
Kwa ramani hyo inaonekana Uganda na Kenya ziko almost sawa kwene ardhi inayofaa kilimo cha mahindi lakini bado Kenya haijitoshelezi ki chakula wakati Uganda ipo self sufficient
Ardhi yote ya Uganda inafaa kulima ila Kenya nusu ya Ardhi tu ndio inafaa kwa matumizi ya Kilimo.
 
Wee unauliza makofi na polisi. Ukienda polisi usipopigwa vibao ndiyo unashangaa, Maana si kawaida. Lakini vibao kwao ni polisi. Ndivyo ilivyo kwa Kenya. Njaa ndiyo home kwao.

Ni aibu kweli kwa East Africa
 
KENYA KATIKA NAFASI YA DUNIA KWENE NJAA

Kadiro ya Global hunger index , Kenya inachukua nafasi ya 90 kati ya inchi 123 na ina score 22. Hii inaonyesha kenya inatatizo kubwa la chakula hapa africa mashariki.

IMG_5085.jpg

IMG_5087.jpg
 
Katika nchi zenye njaa duniani kuna viwango vya ku assess hali ya janga.Kipimo kinachotumia ni Global Hunger Index GHI

Hapa ni namna ya ku assess ukubwa wa Tatizo.
IMG_5089.jpg
 
Well, kuwa tu na njaa kila mwaka ni aibu ni kuonyesha kuna shida so wanasiasa pia inaonesha hawana uwezo wa kukabiliana na matatizo ya kawaida
Egypt ilianzisha kilimo cha kisasa cha jangwani.
Asa hawa jamaa sijui wanafeli wapi ku recruit teknolojia ya kilimo.
 
Back
Top Bottom