Kwanni nafurahi Azam FC kutolewa mapema hatua za Awali za CAFCC leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Wana Uyanga mwingi
2. Wana Unafiki
3. Wana Dharau
4. Tajiri yao hashauriki
5. Laana ya Usaliti inawagharimu
6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga
7. Wana Ushamba unaowaponza

Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali kabisa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho ( CAFCC )

Wajikite zaidi na NBC Premier League.
 
Wa
Wanaikamia sana Simba sc acha watoke tu
 
Shida ya Azam na udini unachangia.
Wanachukua wachezaji wa jamii ya imani yao ili waendane na imani yao.
Hapo Saudia Arabia wanachukua mchezaji yyte pasipo kuangalia imani yake ili mradi ajue kucheza mpira.
Muislamu ndugu yake muislamu
Kuna ukweli hapa,hata makocha wanachukua wa imani yao pasipo kuangalia uwezo wa kocha. Kipindi hiki wameamua kuchukua makocha wenye sigida kabisa.
 
Azamu wanasubiria kuifunga Simba tu basi.
Hii ipo hadi huyo tajiri mtoto wao anatoaga pesa na wanaenda kushangilia Zanzibar.

Wacha hiyo vidudu itolewe ndio ndoto zao.
Wakicheza na Yanga wanafungwa kama vimifugo flani hivi.
Shenztype, jogoomweupe

Halafu wanasingiziaga Hoo tukienda Mikoani tunakosa sauti ya mashabiki. Tunakua sisi kama sisi.
Pumbavu zao
 
Swali, Kati ya Simba na Yanga nani amemfunga Azam mara nyingi??
 
Shida ya Azam na udini unachangia.
Wanachukua wachezaji wa jamii ya imani yao ili waendane na imani yao.
Hapo Saudia Arabia wanachukua mchezaji yyte pasipo kuangalia imani yake ili mradi ajue kucheza mpira.
Muislamu ndugu yake muislamu
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…