choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Kwahiyo ulitaka Simba kama wanalegeza makalio wakikutana na Azam waachwe tuu?1. Wana Uyanga mwingi
2. Wana Unafiki
3. Wana Dharau
4. Tajiri yao hashauriki
5. Laana ya Usaliti inawagharimu
6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga
7. Wana Ushamba unaowaponza
Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali kabisa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho ( CAFCC )
Wajikite zaidi na NBC Premier League.
Kwani ni lazima timu inayoisumbua Simba iisumbue na Yanga?
Ungekua kiongozi wa mpira nadhani ungeishusha Azam daraja kabisa kwa hulka ya hivo