Hoffenheim
JF-Expert Member
- Dec 25, 2022
- 1,077
- 2,505
1. Kwanini Yanga walicheza mechi mbili CAF champion league ya Zalan na Al hilal kama ni level nyingine?watu wa football hatusemi wanaikamia Simba kuliko Yanga,
mpira wa simba hauna tofauti na Azam, so wakikutana mule mule tu. Yanga toka 2021 mpaka sasa ni level nyingine
2. Timu zote zilizofanya vizuri kimataifa zinacheza African super cup. Kwanini Yanga haipo?