choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Kwahiyo ulitaka Simba kama wanalegeza makalio wakikutana na Azam waachwe tuu?1. Wana Uyanga mwingi
2. Wana Unafiki
3. Wana Dharau
4. Tajiri yao hashauriki
5. Laana ya Usaliti inawagharimu
6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga
7. Wana Ushamba unaowaponza
Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali kabisa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho ( CAFCC )
Wajikite zaidi na NBC Premier League.
watu wa football hatusemi wanaikamia Simba kuliko Yanga,1. Wana Uyanga mwingi
2. Wana Unafiki
3. Wana Dharau
4. Tajiri yao hashauriki
5. Laana ya Usaliti inawagharimu
6. Wachezaji wao wanaikamia zaidi Simba na siyo Yanga
7. Wana Ushamba unaowaponza
Naipongeza mno kama siyo sana hiyo Klabu iliyowatoa Azam FC kwa Aibu hasa katika hatua hizi za Awali kabisa katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho ( CAFCC )
Wajikite zaidi na NBC Premier League.
Huo ni uzushi, embu kaangalie safu ya uongozi simba halafu uje uniambia 90% ni dini gani, mbona kule hamsemi hayoKuna ukweli hapa,hata makocha wanachukua wa imani yao pasipo kuangalia uwezo wa kocha. Kipindi hiki wameamua kuchukua makocha wenye sigida kabisa.
Hilo limeshihirika kwenye kocha, msaidiz kawekwa mkuu, afuu mkuu kawekwa msaidiz kisa tu Yusuph mwenzao ktk imanShida ya Azam na udini unachangia.
Wanachukua wachezaji wa jamii ya imani yao ili waendane na imani yao.
Hapo Saudia Arabia wanachukua mchezaji yyte pasipo kuangalia imani yake ili mradi ajue kucheza mpira.
Muislamu ndugu yake muislamu
Uzushi mtupu, zakazakazi alitolea ufafanuzi kwa weledi kabisaHilo limeshihirika kwenye kocha, msaidiz kawekwa mkuu, afuu mkuu kawekwa msaidiz kisa tu Yusuph mwenzao ktk iman
Mwiko nyuma mna shida kweli Azam hajawahi fika makundi yoyote wakati Simba ni 7 kimataifa halafu unasema wako sawa wewe mwenyewe kombe lako la loser tu hujawahi fika makundi ya CAF champiin league miaka 25 kwa utopolo wako na hutofika hadi miaka 40 kule kwa wakubwa tuwatu wa football hatusemi wanaikamia Simba kuliko Yanga,
mpira wa simba hauna tofauti na Azam, so wakikutana mule mule tu. Yanga toka 2021 mpaka sasa ni level nyingine
Acha kulinganisha Simba inayocheza super cup na vibonde wanaotolewa round ya kwanza kombe la maloosers.watu wa football hatusemi wanaikamia Simba kuliko Yanga,
mpira wa simba hauna tofauti na Azam, so wakikutana mule mule tu. Yanga toka 2021 mpaka sasa ni level nyingine
Huwa hajielewi huyoTuwe wazalendo jamani Usimba na Uyanga haukuzi soko la Tanzania unafurahia vp mwakilishi wa nchi yetu ametolewa kwenye mashindano
KabisaTukiachana na hawa mambwiga azam, hawa Waisrael wa Africa nimewakubali, walikua wanapiga sala mwanzo mwisho
Sasa wameshatolewa huo uzalendo wa kufariji mtu aliyefeli unasaidia nnTuwe wazalendo jamani Usimba na Uyanga haukuzi soko la Tanzania unafurahia vp mwakilishi wa nchi yetu ametolewa kwenye mashindano
Sospeter Bajana.Shida ya Azam na udini unachangia.
Wanachukua wachezaji wa jamii ya imani yao ili waendane na imani yao.
Hapo Saudia Arabia wanachukua mchezaji yyte pasipo kuangalia imani yake ili mradi ajue kucheza mpira.
Muislamu ndugu yake muislamu