Kwanni nafurahi Azam FC kutolewa mapema hatua za Awali za CAFCC leo?

watu wa football hatusemi wanaikamia Simba kuliko Yanga,

mpira wa simba hauna tofauti na Azam, so wakikutana mule mule tu. Yanga toka 2021 mpaka sasa ni level nyingine
1. Kwanini Yanga walicheza mechi mbili CAF champion league ya Zalan na Al hilal kama ni level nyingine?
2. Timu zote zilizofanya vizuri kimataifa zinacheza African super cup. Kwanini Yanga haipo?
 
1. Kwanini Yanga walicheza mechi mbili CAF champion league ya Zalan na Al hilal kama ni level nyingine?
2. Timu zote zilizofanya vizuri kimataifa zinacheza African super cup. Kwanini Yanga haipo?

Ukiona hivyo wakati wetu hujafika ila ukifika tunaingia mazima mtaomba pooo
 
Yanga anamfunga AZAM KWA UWEZO ,Simba anafungwa na Azam Kwa kuwa Hana uwezo wa kuifunga Azam
 
Yanga anamfunga AZAM KWA UWEZO ,Simba anafungwa na Azam Kwa kuwa Hana uwezo wa kuifunga Azam
 
Hujui mpira wa miguu mzee sio kma wanaikamia Simba mpira mda mwengne kma draft una formula na formula zinaenda na mtu kwa mtu unaeza kua mzuri Sana ila formula ako usimsumbue mwenzako Simba uwa anaingia kweny copy ya Azam ndomna anamsumbua nasio kma anakamia io ni kawaida tu wew huoni gadiola anaeza pga timu zote ila akikutana na crop wa Liverpool mech inakua ngmu unaeza kua unambinu nzur lakn zisifanye Kaz kutakna na mfumo wako wa uchezaji.
 
Azam siwapendi kabisa. Wao wanachojua ni kuikamia Simba basi. Wajinga kweli na mwaka huu hata top 5 wasiwepo.
Sio kuimamia simba,mpo level sawa ndo maana wana wakanda!
 
Ningefurahi pia kama yanga b wangenyolewa jana,ila JKU waliupiga mwingi sana jana...ok kuhusu hao ukwaju fc acha kiwakute na wataendelea kutolewa mpaka siku watapojifunza kuacha unafiki..

Ile siku azam anamfunga lunyasi taifa bwana ibwe anaonekana yupo na arafati wanafurahi kana kwamba wamefuzu kwenda makundi ya caf,huku wote ni makubwa jinga tu.

Bado huyo mwenzie anayenunuaga mechi za awali zote zije tz apate adavantage ya home.

Akikutana na wanaume wa sudan huko morocco ndo atajua hajui,anafunga vilema wa djibout anafurahi kama kaingia robo fainali ya CAFCL.

safari yake inaishia morocco.
 
Tatizo la Azam ni kujilinganisha na hawa vigogo viwili wakati kiuhalisia hawafanani hata chembe.

Ndiyo maana wakikutana na hivi vigogo viwili kila Mchezaji wa Azam anapambana haswa.

Wakicheza na timu zingine wanarudi kwenye uwalisia wao.

Hizi timu inatakiwa kutafuta management independently na azam company, waje na project ya 3 years wapewe fungu la usajili.

Ngumu sana ceo wa Azam ni muajiriwa wa Azam group hapo ni kujichanganya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…