grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Hao waliotiwa hofu wamejitokeza kufungua kesi?Vifungu viko wazi kwanini waandike habari za kutia hofu watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao waliotiwa hofu wamejitokeza kufungua kesi?Vifungu viko wazi kwanini waandike habari za kutia hofu watanzania.
Ni kwa kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta 2018 kwa kuchapisha taarifa ya Ubalozi wa Marekani
TCRA imesema taarifa hiyo ilijaa upotoshaji na Kwanza TV waliichapisha bila kuzingatia mizania
View attachment 1499167View attachment 1499168Mitano tena kwa mama
Wako huru sasa, nani kama mamaMambo kama haya yanatia aibu sana...eti miezi kumi ma moja ili wajirekebishe aisee .....mbona ni vitu vya kijinga sana hivi ..
Poor TCRA