Kwanza Online TV yafungiwa miezi 11, kwa kuchapisha taarifa ya Marekani

Mambo kama haya yanatia aibu sana...eti miezi kumi ma moja ili wajirekebishe aisee .....mbona ni vitu vya kijinga sana hivi ..
Poor TCRA
Wako huru sasa, nani kama mama
 
Duuuuh ilikuwa imebakiza mwezi mmoja ifunguliwe ila itafunguliwa kwa maelekezo ya Mh SSH.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…