Kwaresma na Pasaka Special Thread

Ushanipoteza ... Naijuia Ile ambayo Kuna mwendokasi

Au unasema ipi? Kule darajani
Ukiwa kwenye mwendokasi kule ni kivukoni,

Ukivuka na pantoni au sea tax kutoka kivukoni unakuja Kigamboni Ferry then utaelekea maeneo mbalimbali ya Kigamboni kama mji mwema, maweni, geza, darajani, kisiwani, Sido, Tungi, kwa urassa, n.k

Saa moja navuka hapo nije Tabata songa ugali mwingi πŸ˜‚
 
Mnajishindisha njaa tuu hamna kufunga wala nini!! Nyie Kuleni kitimoto na pombe ndo Vitu vyenu nyie na kufunga Wapi na wapi bhnaaa
Hongera sana chief,pepo unayo mkononi kwa kujua kwako kufunga kwa imani yako but kama unadhani Mungu anapima kwa mzani mdogo kama huu wewe ndiye unayeshinda njaa.
 
Hongera sana chief,pepo unayo mkononi kwa kujua kwako kufunga kwa imani yako but kama unadhani Mungu anapima kwa mzani mdogo kama huu wewe ndiye unayeshinda njaa.
Nyie kuleni kitimoto na bia muende studios muimbe nyimbo za kusifu muweke vipuli msuke mshindane na diamond na alikiba nyie na kufunga Wapi na wapi? Au mnataka kuchekesha watu
 
Leo nimewahi mapema misa ya kwanza ili niendelee na majukumu..
I hope na wengine mmeshiriki au la jioni msikose misa hii muhimu ya kutukumbusha sisi tu mavumbi na mavumbini tutarudi...
AMINA mtumish tumeshiriki

Watu walikuwa wengi sana jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…