Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

Upo sawa kabisa,lakini je kumchukia huyo Mtu kunasaidia? maana kuna watu wakiona anatajwa Magufuli wanavurugwa kabisa wanaropoka hadi unashagaa unaona kabisa mtu hayupo sawa. Hii chuki iliyopo kwa Magufuli inafika hatua mpaka watu wanatamani nchi ikumbwe na mabalaa ili kama kumkomoa Magufuli. Ndio maana nauliza hii chuki inasaidia kweli mkuu?
 
Mkuu unadhani Magufuli akitangaza leo amejiuzuru urais kuna mtu ataendelea kumchukia? Mbona wewe hawakuchukii.Kule Israel mtu anayeharibu nchi yao huwa hawaishii kumchukia tu bali wanafanya zaidi ya hapo Kama ameshindwa kujitadhimini mwenyewe na kujiuzuru
 
Yani mkuu hujanielewa,swali ni kwamba je hizo chuki zinasaidia? kwa sababu mkuu sio kwamba sie wengine hatuna mambo ambayo tunayochukizwa ya Magifuli ila sasa hata nikimchukia na kumuwekea X kabisa,je ndio inasadia?
 
Ni muhimu ajue watu tunamchukia na wanachuki nyingi dhidi yake,kama anaakili itamsaidie kujitadhini na kujirekebisha Kama Hana aendelee na unyama hivyo hivyo hadi hapo watu watakapopata nafasi ya kumuonesha how we hate him
 
Mkuu ccm toka ilivyoanza kuchukiwa hadi leo hakuna matunda kwenye hiyo chuki na hadi sasa anachukiwa Magufuli ila pia hakuna kinachosaidia,sana sana nachokiona ni watu kujitia stress tu maana huyo wanayemchukia yeye hajari na wala hatuna cha kumfanya na ndipo unakuta mtu anatamani yaje hata majanga,kuna watu wakisikia magufuli wanavurugwa kabisa.
 
Kuchukiwa kwa ccm ndo kujifanya watu Kama akina Magufuli wapewe madaraka waliowapa wakiamini wataisaidia ccm kuendelea kuishi,sasa kwa chuki anazotengeneza huyu just wait kutapambazuka tu,subira yavuta heri
 
Haya
Haya bwana
 
Naona ccm mna wish lockdown zingewezekana kivyama vyama. Naskia mumeanza na Chato. Only under ccm huu ujinga unawezekana! Nchi imekuwaje?

A republic inside a republic? Nchi haiko moja tena? Hamufai kabisa ccm.
 
Kwani hawasemi? Halafu mbona mnatumia mbinu ya divide and rule? Kwahiyo wafiwa tu ndo walalamike? Watanzania wenzetu siyo ndugu zetu siyo?

ccm hamufai tena!
 
Ok but chattle haitabaki safe wakati Tanzania yote unaumwa,let's wait
Wao hawatapata maambukizi maana wao ni wateule! Si unaskia wako kwenye lockdown na watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka na upimaji unaendelea? Hilo lilitakiwa lianzie Dar.

Hata hivyo maamuzi haya siyo sahihi kwasababu kwa utaratibu huu, tumepinga urafiki na corona. So waweza kuwa correct.
 
Uchaguzi ujao lazima kitaeleweka tu
-Kamati ya kuchuja/Nec kovidi kumi na tisa
- tume huru ya uchaguzi , kovidi kumi na tisa
-mahakama kesi za uchaguzi, kovidi kumii na tisa
- usalama wa taifa, kovidi kumi na tisa
-mwangalizi wa uchaguzi , kovidi kumi na tisa

Every little thing gonna be alright.
 
Moto wa zindiko covid
 
Kuchukiwa kwa ccm ndo kujifanya watu Kama akina Magufuli wapewe madaraka waliowapa wakiamini wataisaidia ccm kuendelea kuishi,sasa kwa chuki anazotengeneza huyu just wait kutapambazuka tu,subira yavuta heri
Mkuu chuki haisadii yani tutamchukia weee hadi muda wake utaisha ataondoka atakuja mwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…