Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

Kwasababu CCM wanapenda uongo na magoli ya mikono, COVID-19 haipendi uongo itawaondoa madarakani!

Mkuu mtu ambaye haoni huyu mtu alifanya damage kubwa kwenye nchi hii,mtu ambaye haoni huyu mtu alivyovunja na kusambaratisha protocol za nchi hii,mtu ambaye haoni kiwango cha double standards alizoasisi mtu huyu,mtu ambaye haoni mtu huyu alivyosusha morali ya watu wengi kulitumikia taifa hili,mtu ambaye haoni mtu huyu alivyoharibu sector ya utumishi wa umma,mtu ambaye haoni mtu huyu alivyoharibu sector ya kilimo ya nchi hii hususani mazao ya biashara Kama korosho,kahawa na tumbaku,mtu ambaye haoni mtu huyu alivyoharibu sector ya fedha Tanzania,mtu ambaye haoni mtu huyu alivyoharibu sector binafsi ya nchi hii,mtu ambaye haoni mtu huyu alivyoasasi ufujaji wa pesa ya umma kwa kiwango cha SGR,mtu ambaye haoni uhovuo wa namna mtu huyu anavyoshughulikia majanga yanayoishia kugharimu maisha ya watanzania,mtu ambaye haoni mtu huyu alivyoharibu mahusiano ya nchi yetu na nchi mbalimbali na mashirika ya kimataifa,mtu ambaye haoni mtu huyu alivyoharibu mshikamano na utengamano miongoni mwa watanzania mtu huyo Kama si agent wa shetani ni nani basi
Upo sawa kabisa,lakini je kumchukia huyo Mtu kunasaidia? maana kuna watu wakiona anatajwa Magufuli wanavurugwa kabisa wanaropoka hadi unashagaa unaona kabisa mtu hayupo sawa. Hii chuki iliyopo kwa Magufuli inafika hatua mpaka watu wanatamani nchi ikumbwe na mabalaa ili kama kumkomoa Magufuli. Ndio maana nauliza hii chuki inasaidia kweli mkuu?
 
Mkuu unadhani Magufuli akitangaza leo amejiuzuru urais kuna mtu ataendelea kumchukia? Mbona wewe hawakuchukii.Kule Israel mtu anayeharibu nchi yao huwa hawaishii kumchukia tu bali wanafanya zaidi ya hapo Kama ameshindwa kujitadhimini mwenyewe na kujiuzuru
 
Yani mkuu hujanielewa,swali ni kwamba je hizo chuki zinasaidia? kwa sababu mkuu sio kwamba sie wengine hatuna mambo ambayo tunayochukizwa ya Magifuli ila sasa hata nikimchukia na kumuwekea X kabisa,je ndio inasadia?
 
Ni muhimu ajue watu tunamchukia na wanachuki nyingi dhidi yake,kama anaakili itamsaidie kujitadhini na kujirekebisha Kama Hana aendelee na unyama hivyo hivyo hadi hapo watu watakapopata nafasi ya kumuonesha how we hate him
 
Mkuu ccm toka ilivyoanza kuchukiwa hadi leo hakuna matunda kwenye hiyo chuki na hadi sasa anachukiwa Magufuli ila pia hakuna kinachosaidia,sana sana nachokiona ni watu kujitia stress tu maana huyo wanayemchukia yeye hajari na wala hatuna cha kumfanya na ndipo unakuta mtu anatamani yaje hata majanga,kuna watu wakisikia magufuli wanavurugwa kabisa.
 
Kuchukiwa kwa ccm ndo kujifanya watu Kama akina Magufuli wapewe madaraka waliowapa wakiamini wataisaidia ccm kuendelea kuishi,sasa kwa chuki anazotengeneza huyu just wait kutapambazuka tu,subira yavuta heri
 
Haya
Utaratibu wa ccm kutawala nchi yetu umekuwa ukigubikwa na usiri mwingi, uchakachuaji wa data, uongo uongo, propaganda, wasiojulikana na magoli ya mikono! Vyote hivyo ni adui namba moja pale inapokuja kwenye corona virus 🦠

Hivyo ccm lazima ipoteze hata wakiwapa wanachama wao barakoa za bure badala ya kofia, t-shirts ama pilau!

Lakini kwa haya yanayoendelea, baadaye mtakuja kusema labda rais alifanya makusudi ili aendelee kutawala. Kwanza ikifika wakati wa uchaguzi hali inaweza kuwa mbaya zaidi na minamba ikawekwa kujustify uchaguzi kufutwa indefinitely. Pamoja na campaign. Pesa itasemekana zinaenda kwenye corona. Kwasababu hata sasa namba zinatolewa kwa kauli kutoka juu!

Hii corona bila shaka itaondoka na serikali nyingi sana, maana gonjwa limekuja karibia na uchaguzi mkuu hata Marekani Trump naye ka panic hivyo hivyo anasema watu wajipige sindano za bleach na pia wajianike juani watapona corona!🤦🏾‍♂️

Kiongozi wa ukweli anapimwa wakati wa mgogoro kama huu. Kabla hata ya corona, huu mwaka ulikuwa wa changamoto kubwa sana kwa ccm. Sasa corona imeingia, kama hakuna hatua madhubuti, ni bora wapinzani nao waanze kuja na mawazo mbadala ya namna tutakayokabiliana na corona, maana ni wazi litakuwepo kwa muda. Lakini kwa hali hii ya sasa, tutaenda kuuzika uchumi wetu!

Kwamfano hata hao watalii tunaowategemea, wakati huko kwao kukiwa sawa, unadhani serikali zao zita recommend raia wake waje nchini? Kwasababu hao watu wanakwenda na statistics, halafu pia wanafahamu yanayoendelea. Hata ufiche vipi kwanza now days kuna satellites mnaonekana wazi tu huko makaburini hata kama ni usiku wa manane kama wananchi wanavyodai.

Mods tafadhali musiichinjie baharini hii ni angalizo tu kwa uchaguzi mkuu ujao. Wananchi wanahitaji wasikie alternative ideas. Tuuachie usambae ambayo ni mode ya “The fittest survive”, ama tuende na partial lockdowns huku tukiongeza uwezo wa kupima.

Siyo ajabu wananchi tukajazuiwa kupiga kura kama kina Pasco wamekuwa wakisema hakuna haja ya uchaguzi bali Maghufuli kisha amkabidhi Makonda.
Haya bwana
 
Mkuu ccm toka ilivyoanza kuchukiwa hadi leo hakuna matunda kwenye hiyo chuki na hadi sasa anachukiwa Magufuli ila pia hakuna kinachosaidia,sana sana nachokiona ni watu kujitia stress tu maana huyo wanayemchukia yeye hajari na wala hatuna cha kumfanya na ndipo unakuta mtu anatamani yaje hata majanga,kuna watu wakisikia magufuli wanavurugwa kabisa.
Naona ccm mna wish lockdown zingewezekana kivyama vyama. Naskia mumeanza na Chato. Only under ccm huu ujinga unawezekana! Nchi imekuwaje?

A republic inside a republic? Nchi haiko moja tena? Hamufai kabisa ccm.
 
Sema ndugu zako wamekufa wangapi na hawajatangazwa au wanaumwa na sio kila siku kuwasemea watu ambao hawajulikani walipo, na kama wapo acha waseme wenyewe kuwa ndugu zao wanakufa ila hawatangazwi, na sio wewe, maana huna ushahidi, na kama unao weka hapa tuuone.
Kwani hawasemi? Halafu mbona mnatumia mbinu ya divide and rule? Kwahiyo wafiwa tu ndo walalamike? Watanzania wenzetu siyo ndugu zetu siyo?

ccm hamufai tena!
 
Ok but chattle haitabaki safe wakati Tanzania yote unaumwa,let's wait
Wao hawatapata maambukizi maana wao ni wateule! Si unaskia wako kwenye lockdown na watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka na upimaji unaendelea? Hilo lilitakiwa lianzie Dar.

Hata hivyo maamuzi haya siyo sahihi kwasababu kwa utaratibu huu, tumepinga urafiki na corona. So waweza kuwa correct.
 
Uchaguzi ujao lazima kitaeleweka tu
-Kamati ya kuchuja/Nec kovidi kumi na tisa
- tume huru ya uchaguzi , kovidi kumi na tisa
-mahakama kesi za uchaguzi, kovidi kumii na tisa
- usalama wa taifa, kovidi kumi na tisa
-mwangalizi wa uchaguzi , kovidi kumi na tisa

Every little thing gonna be alright.
 
Moto wa zindiko covid
 
235809-1-768x541.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchukiwa kwa ccm ndo kujifanya watu Kama akina Magufuli wapewe madaraka waliowapa wakiamini wataisaidia ccm kuendelea kuishi,sasa kwa chuki anazotengeneza huyu just wait kutapambazuka tu,subira yavuta heri
Mkuu chuki haisadii yani tutamchukia weee hadi muda wake utaisha ataondoka atakuja mwengine.
 
Back
Top Bottom