Kwasasa CHADEMA inajionyesha waziwazi kuwa ni chama Cha mabeberu

Kwasasa CHADEMA inajionyesha waziwazi kuwa ni chama Cha mabeberu

Hoja kama hii ni nzito na inahitaji ushahidi wa kutosha badala ya hisia au tuhuma. Kuituhumu chama chochote kuwa “mradi wa mabeberu” bila vielelezo vya wazi ni hatari kwa ustawi wa demokrasia na mjadala wa kisiasa wa afya. Ni muhimu kutoa hoja kwa msingi wa sera, mienendo ya viongozi, na athari kwa wananchi, badala ya jumlisho lisilo na ushahidi. Demokrasia inahimiza mjadala, si matusi wala dhana za chuki.
Ushahidi nimeuweka mwanzoni mwa post
 
Wazungu ni wanafiki sana, mbona kwa kagame hawasemi kitu?
Kagame wanamtumia Kula CONGO.

Na kwasababu tunashindwa kutataua vimatatizo kidogo, kikinuka wanamtumia Kagame, wanakula hapa.

Lazima ujifunze kutatua matatizo ya nyumbani kwako, ili kuepusha wahuni kuyatumia kama mwanya wa kufanya uhuni
 
Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu

Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema.
Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini

View attachment 3408254
Hakuna chama cha kingese kama machadema. Kiongozi wa ana faili milembe, ni kichaa na mpenda ushoga.
 
Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu

Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema.
Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini

View attachment 3408254
Iko wazi,yani hawa jamaa wanatia aibu
 
Nyie anzeni muone,wapo watakaokushughulikia
Ndoto za alinacha, kwasababu hujielewi.

Nadhani hata hujui juu tu hapo, askari wa JWTZ kadhalilishwa Rwanda.

Kwa ulivyo kafuku, unadhani vita wanapigana wanajeshi tu.
 
Bange na ushoga upo chadema
CHADEMA mabeberu na CCM majike ya kondoo
20250508_170924.jpg
20250508_170932.jpg
downloadfile-2.jpg
 
Back
Top Bottom