Kwasasa CHADEMA inajionyesha waziwazi kuwa ni chama Cha mabeberu

Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu

Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema.
Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini

View attachment 3408254
Mpaka EU inajadili kwenye Bunge lao na hujiulizi Kwa nini hawajadili Uganda,Kenya wanakouana au kwingineko
 
Toka wabadilishwe viongozi wa chadema ndo tumejua wazi wazi kuwa chadema ni mradi wa mabeberu, wanatekelea tamaduni za mabeberu, chadema ni Mapandikzi ya mabeberu

Wamefikia hatua hata ya kumteua mzungu kuwa mshauri wakisheria wa chadema.
Angalizo: Hatutaki mtuletee mambi machafu nchini

View attachment 3408254
Hawajamteua, EU wamewateulia mholanzi, hawa wengi ni ******* wa wazi, mpaka baraza la mawaziri kuna ndoa za mashoga
 
Back
Top Bottom