Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapana kiongoziVipi na wewe unamshabikia mkuu
CC Zero IQ
kiukweli hizi vitu ni overratedHizo papuchi hiz aiseee
CC Zero IQ
nimejaribu kufuatilia aina mbalimbali za papuchi zile za wembamba ni atari mkuu chuachane na ayoSana mkuu ila Utamu wake ni wa kawaida sana
CC Zero IQ
Ubatili mwingi nimeshaufanya mpaka sasa kama ule ubatili wa ugegedaji niliufanya vizuri kwa kiwango cha SGR ,
Hakuna chombo sijawahi Tafuna, wanene wembamba, weupe, wafupi, warefu, wenye, chura, waliopigwa pasi kama moja, wenye Sura kavu kama za kiume, matom boy na Nk.
Nimetafuna chombo nyingi sana mpka kufikia hatua ya kufikishana Central kisa ugegedaji tu, (Nashukuru hayo yote niliyafanya Beyond 25 years) hivyo bado nina muda mzuri tu wa kutuliza Akili,
It was my dream since niko na miaka 17 kwamba nihakikishe mpaka nafika miaka 25 niwe nimeshafanya ugegedaji mwingi ambao nikifika miaka 26 sasa nitakuwa nimezoea na kujua hakuna jipya na ndio wakati wa kuamua nitulie nianze kukoncetrate kutafuta maisha and Now am on it
kwa sasa nimetulia tuli sioni jipya tena Nguvu na Akili Zangu zote nimeona bora nielekeze sehemu moja tu nako ni kwenye KUTAFUTA PESA.
Mapenzi siyo kitu muhimu tena kwangu, Sina stress, sina mtu wa kusema kwamba aniwazishe, zaidi mawazo yote na Akili zangu yapo kwenye Utafutaji
Kwa sasa bajeti yangu kubwa inanihusu mimi mwenyewe, Pili kwa wazazi tatu kujiwekea Akiba.
Sina mpenzi permanent wa kuhudumia nikibanwa sana na Genye natafuta Koroni langu la kitambo nabust naendelea na mishe .
Msione kimya Sijawatenga ndugu zangu wa MMU japo siku moja moja sio mbaya huwa Narudia Enzi.
Hakuna sehemu nimesema nimeacha Dhambi,Una miaka 26? Ngoja Nikwambie kitu kimoja, Hakuna mtu kwenye hii Dunia anayeweza sema ngoja nifanye dhambi kipindi hiki Halafu Baadae niache niendelee na mambo mengine!
Mabaya yetu kwa namna moja au ingine huwa ynatufuata, kuna namna fulani utalipa gharama ya dhambi Zako tu, Hilo lipo wazi!
Cha kufanya ni kusema Natubu na kuacha dhambi, ili uanze maisha mapya, ila kuja kujisifia ujinga, time will tell....
Una miaka 26? Ngoja Nikwambie kitu kimoja, Hakuna mtu kwenye hii Dunia anayeweza sema ngoja nifanye dhambi kipindi hiki Halafu Baadae niache niendelee na mambo mengine!
Mabaya yetu kwa namna moja au ingine huwa ynatufuata, kuna namna fulani utalipa gharama ya dhambi Zako tu, Hilo lipo wazi!
Cha kufanya ni kusema Natubu na kuacha dhambi, ili uanze maisha mapya, ila kuja kujisifia ujinga, time will tell....
Naunga mkono hojaK ni kama Punyeto tu Tamu ukiwa na Genye ila ukishaichapa unaiona ya kawaida na kuidharau mkuu
uhakikaMademu wembamba ndio wemye papuchi naunga mkono hoja ila sio wale wembamba sana wale wenye vitako flani vya kubinuka,
CC Zero IQ
Naam mkuu
CC Zero IQ
HahahaUbatili mwingi nimeshaufanya mpaka sasa kama ule ubatili wa ugegedaji niliufanya vizuri kwa kiwango cha SGR ,
Hakuna chombo sijawahi tafuna, wanene wembamba, weupe, wafupi, warefu, wenye, chura, waliopigwa pasi kama moja, wenye sura kavu kama za kiume, matom boy na Nk.