Kwasasa katika maisha yangu ni kitu kimoja tu ndio nimeamua kukifanya kwa nguvu

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usikune mkono vumilia tu maana kulivyo delicate kule halafu ukikuna ohooooo! Utaongeza tatizo
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sio poa

CC Zero IQ
 
Ubatili mwingi nimeshaufanya mpaka sasa kama ule ubatili wa ugegedaji niliufanya vizuri kwa kiwango cha SGR ,

Hakuna chombo sijawahi Tafuna, wanene wembamba, weupe, wafupi, warefu, wenye, chura, waliopigwa pasi kama moja, wenye Sura kavu kama za kiume, matom boy na Nk.

Nimetafuna chombo nyingi sana mpka kufikia hatua ya kufikishana Central kisa ugegedaji tu, (Nashukuru hayo yote niliyafanya Beyond 25 years) hivyo bado nina muda mzuri tu wa kutuliza Akili,

It was my dream since niko na miaka 17 kwamba nihakikishe mpaka nafika miaka 25 niwe nimeshafanya ugegedaji mwingi ambao nikifika miaka 26 sasa nitakuwa nimezoea na kujua hakuna jipya na ndio wakati wa kuamua nitulie nianze kukoncetrate kutafuta maisha and Now am on it

kwa sasa nimetulia tuli sioni jipya tena Nguvu na Akili Zangu zote nimeona bora nielekeze sehemu moja tu nako ni kwenye KUTAFUTA PESA.

Mapenzi siyo kitu muhimu tena kwangu, Sina stress, sina mtu wa kusema kwamba aniwazishe, zaidi mawazo yote na Akili zangu yapo kwenye Utafutaji

Kwa sasa bajeti yangu kubwa inanihusu mimi mwenyewe, Pili kwa wazazi tatu kujiwekea Akiba.

Sina mpenzi permanent wa kuhudumia nikibanwa sana na Genye natafuta Koroni langu la kitambo nabust naendelea na mishe .

Msione kimya Sijawatenga ndugu zangu wa MMU japo siku moja moja sio mbaya huwa Narudia Enzi.

Una miaka 26? Ngoja Nikwambie kitu kimoja, Hakuna mtu kwenye hii Dunia anayeweza sema ngoja nifanye dhambi kipindi hiki Halafu Baadae niache niendelee na mambo mengine!

Mabaya yetu kwa namna moja au ingine huwa ynatufuata, kuna namna fulani utalipa gharama ya dhambi Zako tu, Hilo lipo wazi!

Cha kufanya ni kusema Natubu na kuacha dhambi, ili uanze maisha mapya, ila kuja kujisifia ujinga, time will tell....
 
nimejaribu kufuatilia aina mbalimbali za papuchi zile za wembamba ni atari mkuu chuachane na ayo
Mademu wembamba ndio wemye papuchi naunga mkono hoja ila sio wale wembamba sana wale wenye vitako flani vya kubinuka,

CC Zero IQ
 
Una miaka 26? Ngoja Nikwambie kitu kimoja, Hakuna mtu kwenye hii Dunia anayeweza sema ngoja nifanye dhambi kipindi hiki Halafu Baadae niache niendelee na mambo mengine!

Mabaya yetu kwa namna moja au ingine huwa ynatufuata, kuna namna fulani utalipa gharama ya dhambi Zako tu, Hilo lipo wazi!

Cha kufanya ni kusema Natubu na kuacha dhambi, ili uanze maisha mapya, ila kuja kujisifia ujinga, time will tell....
Hakuna sehemu nimesema nimeacha Dhambi,

Dhambi bado nazifanya na nitazifanya kila siku kwa sababu mimi ni mwanadamu sio mkamilifu.

Vipi mwenzangu wewe ni mkamilifu kiasi kwamba hautendi dhambi na hautakuja kutenda dhambi tena mkuu?

CC Zero IQ
 
Una miaka 26? Ngoja Nikwambie kitu kimoja, Hakuna mtu kwenye hii Dunia anayeweza sema ngoja nifanye dhambi kipindi hiki Halafu Baadae niache niendelee na mambo mengine!

Mabaya yetu kwa namna moja au ingine huwa ynatufuata, kuna namna fulani utalipa gharama ya dhambi Zako tu, Hilo lipo wazi!

Cha kufanya ni kusema Natubu na kuacha dhambi, ili uanze maisha mapya, ila kuja kujisifia ujinga, time will tell....

Acha kumzingua mwenzako kwani kuna mtu asiyepiga papuchi?. Zero IQ ametoa shuhuda na kutoa ushauri kwa vijana. Hapo tu tayari kashakiri na kutubu sasa unataka atubuje?[emoji23][emoji23]

Maisha hayoko serious ivo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ubatili mwingi nimeshaufanya mpaka sasa kama ule ubatili wa ugegedaji niliufanya vizuri kwa kiwango cha SGR ,

Hakuna chombo sijawahi tafuna, wanene wembamba, weupe, wafupi, warefu, wenye, chura, waliopigwa pasi kama moja, wenye sura kavu kama za kiume, matom boy na Nk.

Nimetafuna chombo nyingi sana mpka kufikia hatua ya kufikishana Central kisa ugegedaji tu, (Nashukuru hayo yote niliyafanya Beyond 25 years) hivyo bado nina muda mzuri tu wa kutuliza Akili,

It was my dream since niko na miaka 17 kwamba nihakikishe mpaka nafika miaka 25 niwe nimeshafanya ugegedaji mwingi ambao nikifika miaka 26 sasa nitakuwa nimezoea na kujua hakuna jipya na ndio wakati wa kuamua nitulie nianze kukoncetrate kutafuta maisha and Now am on it

kwa sasa nimetulia tuli sioni jipya tena Nguvu na Akili Zangu zote nimeona bora nielekeze sehemu moja tu nako ni kwenye KUTAFUTA PESA.

Mapenzi siyo kitu muhimu tena kwangu, Sina stress, sina mtu wa kusema kwamba aniwazishe, zaidi mawazo yote na Akili zangu yapo kwenye Utafutaji

Kwa sasa bajeti yangu kubwa inanihusu mimi mwenyewe, Pili kwa wazazi tatu kujiwekea Akiba.

Sina mpenzi permanent wa kuhudumia nikibanwa sana na Genye natafuta Koroni langu la kitambo nabust naendelea na mishe .

Msione kimya Sijawatenga ndugu zangu wa MMU japo siku moja moja sio mbaya huwa Narudia Enzi.
Hahaha
 
Back
Top Bottom