Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Sote ni mashuhuda kwamba,
katika majukwaa mbalimbali humu JF, kumezuka na kuibuka wimbi kubwa sana la baadhi ya wadau wa JF kujidhirisha pasina shaka yoyote kwamba wao ni kundi la mamluki wa vibaraka fulani wa mabwenyenye ya magharibi,yaliyokita kambi humu nchini, lakini pia ni wazi kwamba wao ni wafuata mkumbo tu, kwasababu mtindo wao wa kuandika porojo, uzushi na uongo wao humu jukwaani vinafanana mpaka hati muandiko.
Na zaidi sana,
mtindo na tabia zao mfanano mathalaini, kua na makasiriko, mihemko na hasria za kupindukia bila kua na sababu ya msingi ya mihemko hiyo, zinawapambanua vema sana kama kundi ambalo halina maono bali linafuata mkumbo tu au maelekezo kutoka mahali fulani kwa wajanja bila wao kujitafakari.
Na mara nyingi,
hitimisho kuu la mijadala yao ya kizushi, ikiwa mdau mwingine wa JF asie mfuata mkumbo atatoa maoni tofauti na mitazamo yao, basi atashambuliwa kwa mvua ya matusi yaliyoratibiwa kwa ustadi mkubwa sana, na hiyo ikidhihirisha kwamba ndio utambulisho wa hitimisho la mjadala huo, kuhusu porojo, uongo au uzushi waliouibua na kuueleza humu jukwaani.
So,
My friends, ladies and gentlemen as a nation,
tunalo janga na changamoto ya kitaifa kama nchi, na tunao wajibu wa wa moja kwa moja kunusuru vijana wetu kutokujitumbukiza kwenye janga hilo ambalo ni wazi lina athari za moja kwa moja kwao wenyewe kibinafsi dhidi ya maisha na uhai wao wenyewe.
Kama mdau mwandamizi wa kisiasa nchin,
Una ushauri gani juu ya jambo hilo?
Mungu Ibariki Tanzania.