Kwasasa UTRAFIKI uko juu halafu TRA na Bandari zinafuata.

Kwasasa UTRAFIKI uko juu halafu TRA na Bandari zinafuata.

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Hii ya mwisho.
Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana
Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu.
TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu.
Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia tu road maokoto hayo it's quite different from TPA na TIHARA HEI ambapo unaweza kuwekwa sakafuni ule mchanga pekee
 
Mia tano per day kwani tirafiki yuko peke yake Dar nzima..... Kusanya bukubuku hadi ufikishe laki 5 maanake ukamate magari karibu 470, halafu tuchukulie hayo mengine 30 utaokota buku tano na machache buku 10. Thubutuuuu
 
Niwakumbushe tu vijana wenzangu..

Pesa ya DILI sio pesa.. na si nyinyi tu mnaoona huko kuna pesa, kuna PUA za watu zinanusa yanayoendelea huko.. omba Mungu PUA hiyo inayonusa isipige CHAFYA.
 
Niwakumbushe tu vijana wenzangu..

Pesa ya DILI sio pesa.. na si nyinyi tu mnaoona huko kuna pesa, kuna PUA za watu zinanusa yanayoendelea huko.. omba Mungu PUA hiyo inayonusa isipige CHAFYA.

Bro heshima mingi kwako. Hii comment yako naisoma kwa mara nyingine. Una dhamiri njema sana na utambuzi mkubwa.

Hela za dili dili sijui rushwa ni kujiweka kwenye matatizo tu. Kwenye baadhi ya hizo taasisi unakuta wanasafisha kwa kubet.

Anasa zisizo na maana, mwisho wa siku ikikata kidogo wanageuka ombaomba.

Watu wabadilike, maisha ya kuigaiga na kuendekeza dili dili hayafai.
 
Hili bandiko litunzwe makumbusho ya Taifa Kwa vizazi vijavyo,wasiteseke kama sisi, wajue tu chimbo la maokoto ni Trafiki,....unajua nilikuwa nawaza hawa watu vitambi wanatoa wapi.
 
Vijana kuweni makini. Kuna vijana wengi waliokulia familia maskini wamejikuta wameishia magereza na kupoteza kazi kwa hizo ishu haramu kwenye ofisi za serikali. Wakati wa Magu hadi wakati huu wa mama kuna vijana wengi wamejikuta na kesi za uhujumu uchumi.
Hawaii na vipofu sheria ni biashara
 
Trafik uwe mkoa wa Pwani njia ya Dar Moro.
Tiiaraei uwe Kariakoo au bandarini au eapoti.
Lakini trafik ukipangwa Bukoba imekula kwako, kwanza magari niyakuhesabu halafu wahaya hawana hela japo magari Yao mengi Ni mabovu.
Nadharia zaidi.....sasa watu wote watapangwa kkoo ? Au njia dar moro? .....
 
Hii ya mwisho.
Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana
Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu.
TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu.
Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia tu road maokoto hayo it's quite different from TPA na TIHARA HEI ambapo unaweza kuwekwa sakafuni ule mchanga pekee
Kwani ni lini utraffic umewahi kuwa chini?
 
Back
Top Bottom