Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
ukiona mtu anatamani kuwa traffick police ujue kapigika kweli kweli , yaani nchi imekua ya hovyo sana hiyo, kuna watu wana deals zao za halali na za maana wanapiga hela vibaya , sasa wengine mnawaza kubet tu na kunywa energy maisha yatabadilika lini? vijana wa hovyo wanaongezeka kila uchao.