Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
😂😂😂Niwakumbushe tu vijana wenzangu..
Pesa ya DILI sio pesa.. na si nyinyi tu mnaoona huko kuna pesa, kuna PUA za watu zinanusa yanayoendelea huko.. omba Mungu PUA hiyo inayonusa isipige CHAFYA.
Niwakumbushe tu vijana wenzangu..
Pesa ya DILI sio pesa.. na si nyinyi tu mnaoona huko kuna pesa, kuna PUA za watu zinanusa yanayoendelea huko.. omba Mungu PUA hiyo inayonusa isipige CHAFYA.
Hawaii na vipofu sheria ni biasharaVijana kuweni makini. Kuna vijana wengi waliokulia familia maskini wamejikuta wameishia magereza na kupoteza kazi kwa hizo ishu haramu kwenye ofisi za serikali. Wakati wa Magu hadi wakati huu wa mama kuna vijana wengi wamejikuta na kesi za uhujumu uchumi.
Nadharia zaidi.....sasa watu wote watapangwa kkoo ? Au njia dar moro? .....Trafik uwe mkoa wa Pwani njia ya Dar Moro.
Tiiaraei uwe Kariakoo au bandarini au eapoti.
Lakini trafik ukipangwa Bukoba imekula kwako, kwanza magari niyakuhesabu halafu wahaya hawana hela japo magari Yao mengi Ni mabovu.
NIMESEMA ukiwa trafik ukitaka utoboe fasta karoge wakupange Kibaha.Nadharia zaidi.....sasa watu wote watapangwa kkoo ? Au njia dar moro? .....
Aaahhhh wanahamishwa sanaaa....hukai sana sehemu nyeti hizo zina keleleNIMESEMA ukiwa trafik ukitaka utoboe fasta karoge wakupange Kibaha.
Kuna machimbo Yana hela aisee.Aaahhhh wanahamishwa sanaaa....hukai sana sehemu nyeti hizo zina kelele
Kwani ni lini utraffic umewahi kuwa chini?Hii ya mwisho.
Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana
Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu.
TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu.
Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia tu road maokoto hayo it's quite different from TPA na TIHARA HEI ambapo unaweza kuwekwa sakafuni ule mchanga pekee
AhahahahAisee mwamba umenipa mchongo! Fasta napiga chini uticha, naenda zangu trafik nikale pema ya mama Kizim mkazi😃😃
Basi UTRAFIKI upewe maua yakeKwani ni lini utraffic umewahi kuwa chini?
Ha ha aisee.Ahahahah
Wewe subiria hiyo salari yako ambayo mlinzi wa Bandari anakuzidi mara mbili na posho anayo kubwa .
Yaani posho na salari akiweka pamoja teacher wa tgts F anakalishwa
Shauri yakoHa ha aisee.