Kwasasa UTRAFIKI uko juu halafu TRA na Bandari zinafuata.

Mtu unakaa kabisa unabariki rushwa,huo ni uhalifu kama uhalifu mwingine tu wala huna lolote la kujivunia, ukiamua kufanya hayo basi baki huko huko mafichoni.
Na ukishaingia kwenye hizo dili hauishii hapo, ndo maana polisi wanaua watu na kubambikia watu kesi kila siku.

Alafu mods nyuzi kama hizi wanazichekea tu.
 
Trafik uwe mkoa wa Pwani njia ya Dar Moro.
Tiiaraei uwe Kariakoo au bandarini au eapoti.
Lakini trafik ukipangwa Bukoba imekula kwako, kwanza magari niyakuhesabu halafu wahaya hawana hela japo magari Yao mengi Ni mabovu.
sahihi mkuu mfano trfc wa nzega pale ni ktovu cha maokoto. Gari za tbr, khm, shy, mwnz, bkb,karagwe, geita, simiyu, mpnd, mby,kgm, arsh, msh, dsm,moro, ddm, sngd, igng zotee hizi lazima wazisalimie!
 
Mia tano per day kwani tirafiki yuko peke yake Dar nzima..... Kusanya bukubuku hadi ufikishe laki 5 maanake ukamate magari karibu 470, halafu tuchukulie hayo mengine 30 utaokota buku tano na machache buku 10. Thubutuuuu
Kawaida sana hiyo mzee baba katikati ya mji kama Dar
 
mzee kama siyo simba utakuwa yanga upo betting saaa hii. hebu tuambie Zanzibar nani atashinda kombe la mapinduzi maana upo vizrui kukaa na kutabiri. Bora ukose pesa kuliko akili
 
Wako sahihi kuziacha. Kuna mtu huko juu kasema habari ya wanaonusa na hii ndio thread nzuri ya kupata dondoo
 
Wako sahihi kuziacha. Kuna mtu huko juu kasema habari ya wanaonusa na hii ndio thread nzuri ya kupata dondoo
Hawa ndo wahalifu malimbukeni, wakidakwa wanaanza kutia tia huruma!
 
Exactly.. unaweza kula hela kwa miaka 5 mfululizo but wakikudaka wenyewe.. unapoteza kila kitu ulichokipata kwa halali na kwa magumashi.. hizo hela za namna hiyo sizitaki na TRA hawana mshahara wa kutisha nashangaa watu wanawapapatikia kinoma.
 
Trafik uwe mkoa wa Pwani njia ya Dar Moro.
Tiiaraei uwe Kariakoo au bandarini au eapoti.
Lakini trafik ukipangwa Bukoba imekula kwako, kwanza magari niyakuhesabu halafu wahaya hawana hela japo magari Yao mengi Ni mabovu.
Kuna trafiki pale kibamba afadhali wamewaondoa.

Wale walikua hawana aibu aisee.

Kila daladala wanasimamisha wanachukua buku mbili mbili kwa kupokezana.

Ilikua aibu mno.
 
Kuna kale kakipande kakutoka mchalinze mpaka lugoba kwenye makarasha. Lori za kokoto kutoka migodini hupita hio njia kuja dsm na mikoa mingine lazima kila roli isimame impe nesi buku mbili na Lori zipo kibao zinapita hiyo njia kwa siku hupita roli si chini ya 700
 
Mia tano per day kwani tirafiki yuko peke yake Dar nzima..... Kusanya bukubuku hadi ufikishe laki 5 maanake ukamate magari karibu 470, halafu tuchukulie hayo mengine 30 utaokota buku tano na machache buku 10. Thubutuuuu
Pale mwandege kila daladala inatoa buku tatu huku temeke kilwa road kila daladala inatoa buku mbili hapo bado malori ya mizigo na canter.......
 
Pale mwandege kila daladala inatoa buku tatu huku temeke kilwa road kila daladala inatoa buku mbili hapo bado malori ya mizigo na canter.......
Hawa hawajui nadhani.
Trafiki maeneo mengine hapa Dar analaza milioni kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…