Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
We jamaa unaijua milioni kwa siku? Tena ya kukusanya bukubuku na buku mbili?Hawa hawajui nadhani.
Trafiki maeneo mengine hapa Dar analaza milioni kwa siku
Hizo daladala njia hiyo hata 100 hazifiki. Na sio kila wakipita wanalipa ni mara moja tu kwa siku labda akakamatwe njia nyingine. Na sio kila lori wanakamata ni za kuotea pia, wangekua wanakamata kila lori kwanza hiyo jam yake ingeleta ugomvi traffic wenyewe watajikuta lupango. Watu wanafikia hadi hatua ya kujidanganya eti traffic analaza milioni kwa siku 😂😂😂😂Pale mwandege kila daladala inatoa buku tatu huku temeke kilwa road kila daladala inatoa buku mbili hapo bado malori ya mizigo na canter.......
Hizo daladala njia hiyo hata 100 hazifiki. Na sio kila wakipita wanalipa ni mara moja tu kwa siku labda akakamatwe njia nyingine. Na sio kila lori wanakamata ni za kuotea pia, wangekua wanakamata kila lori kwanza hiyo jam yake ingeleta ugomvi traffic wenyewe watajikuta lupango. Watu wanafikia hadi hatua ya kujidanganya eti traffic analaza milioni kwa siku 😂😂😂😂
Hamna kitu....waganga njaa tu tunaishi nao mtaani hata nyumba za maana si wangejenga...wapo kawaida sana japo wanawapiga gap askari wenzaoNjoo pm nikupe info kamili.
Nikikupa code hapa wanoko watasanukia viwanja.
Kwa taarifa yako katikati ya mji huku Dar trafiki nadra sana kukamata unless upite taa nyekundu.Kawaida sana hiyo mzee baba katikati ya mji kama Dar
Niko ilala kwaiyo katikati ya mji Kuna barabara magari hayipiti ili yamkimbie trafiki upo Dar sehemu gani mkuu?Kwa taarifa yako katikati ya mji huku Dar trafiki nadra sana kukamata unless upite taa nyekundu.
Upo mkoa gani mkuu
😃😃Mwamba nina familia ujue.Tutakupangia barabara ya Sumbawanga - Kala ambapo kuna basi moja, gari la padri na pick up ya kubebea samaki. Na raia wa huko ni professional wa uchawi.
Katikati ya mji trafiki kusimamisha gari ni labda uzingue kwenye taa au kwenye zebra. Ni nadra sana kukuta wamejazana kukusanya maokoto kama njia za pembezoni kama za kinyerezi,goba etc. Hapa Dar unaweza endesha gari 2 years na usiwahi simamishwa na traffic kwa maeneo ya town unless uzingue kwenye taa au zebra wakakuotea, tofauti na mikoani..ndio maana nikahisi upo mkoaNiko ilala kwaiyo katikati ya mji Kuna barabara magari hayipiti ili yamkimbie trafiki upo Dar sehemu gani mkuu?
Sasa na utuambie nawe kama mla kwa urefu wa kamba😁Hii ya mwisho.
Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana
Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu.
TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu.
Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia tu road maokoto hayo it's quite different from TPA na TIHARA HEI ambapo unaweza kuwekwa sakafuni ule mchanga pekee
Hili jambo siyo sahihi. Tujitahidi kutoa taarifa sahihi na changamoto sahihi ili tuweze kutatua.Hii ya mwisho.
Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana
Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu.
TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu.
Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia tu road maokoto hayo it's quite different from TPA na TIHARA HEI ambapo unaweza kuwekwa sakafuni ule mchanga pekee
kwa maelezo yako tra kuko vizurHii ya mwisho.
Nawapa ramani wazee, UTRAFIKI uko njema sana. Ukikaa site nzuri mia 5 per day ni kawaida sana
Ila TIHARA HEI ukikaa kitengo per day kutoka na milioni 10 kawaida tu.
TPA nako kutoka na milioni 2 per day ni mchezo mdogo tu.
Sema UTRAFIKI uko juu kwakuwa ni uhakika, yaani ukiingia tu road maokoto hayo it's quite different from TPA na TIHARA HEI ambapo unaweza kuwekwa sakafuni ule mchanga pekee
Huko PCCB kwenyewe watu wanatembeza rushwa ili mafile yao yazimwe.NI VYEMA TUKAJIFUNZA TABIA NJEMA KIMAADILI NA TUWE NA HAMU YA KUONA TAIFA LETU LINANYANYUKA KIMAENDELEO KWA KUKWEPA KUTAKA KUJINUFAISHA MWENYEWE PALE TU UNAPOAMINIKA MAHALI JITAHIDI KUWA MUADILIFU,. #KATAARUSHWA
Halmashauri njaa kali ukiibila laki 5 tu mpaka baraza la madiwani watajuavijana muache tamaa kuna watumishi katavi wa uhasibu wapo rumande toka mwaka jana mwezi 7 kwa kosa la wizi wa pesa ya selikal
mpaka sasa na wengine mateso wanayopitia sio ishu kabisa ni mabaya
madeal haya selikal skuiz inaona sana mifumo imekuwa mingi
Unaripoti issue ya rushwa na ufisadi unaona umeipigania nchi yako kumbe wenzako polisi wanapigiana Tano wakijua umewapa ulaji.Hili jambo siyo sahihi. Tujitahidi kutoa taarifa sahihi na changamoto sahihi ili tuweze kutatua.
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
They're finding short term pleasure for long term painful hao ndio vijana wa Tanzania wanaoamini kwamba ukicheza buku kwenye mchongo pesa basi unapata million 10 na friji na tv.Vijana kuweni makini. Kuna vijana wengi waliokulia familia maskini wamejikuta wameishia magereza na kupoteza kazi kwa hizo ishu haramu kwenye ofisi za serikali. Wakati wa Magu hadi wakati huu wa mama kuna vijana wengi wamejikuta na kesi za uhujumu uchumi.