Kwawamba Hatarini Kujiuzulu


mbona anachelewa kamlostisha dogo wangu!!
 
Kuna watu wanachonga sana jamani, hivi nyinyi kama wazazi mliopo humu JF mlifanya juhudi ngani ili watoto wenu wafaulu? Mitoto yenu inavyoenda kukaa vichakani ikivuta bangi napo wanakuwaga na Shukuru Kawambwa? Na wale mabinti zenu wanaoaga wanaenda shule wanaenda kupika kwa bwana? Waziri wa Elimu kawatuma? Nyinyi kama wazazi wangapi kati yenu wanafuatilia maendeleo ya watoto wenu? Mnakaa kumlaumu Waziri kwani yeye ndio kafanya hiyo mitihani? Kwa taarifa yenu matokeo hayo ndio halisi maana hayajachakachuliwa, inawezekana huko nyuma yalikuwa yanachakachuliwa!!! Acheni kutafuta mchawi nani bali tafuteni suluhu, MNABOA!!!!
 
Itakuwa historia

Indeed itakuwa historia...ila kwa wale waliobahatika kufundishwa naye, wanajua jamaa alikuwa muungwana sana. Sijui aliangukiaje kwenye siasa maana hafanani kabisa na siasa za bongo zinavyokwenda.
 
Ataweka historia ya uungwana, kwani when things go wrong one should feel responsibility.Japo ni kashfa kutokana na uzembe wake ktk ku-handle swala la waalimu lakini atakuwa ameoga.

Na itamjengea heshima kwamba ni muungwana

Ila hata kama akiondoka bado matokeo hayata badilika

Itasaidia kuwekwa watu wengine wenye uwezo kuchukua nafasi na kurekebisha mambo

I gues this can not happen in tz! Ngoja tusubiri!

Hata mimi nna mashaka, ila vitu huwa vinabadilika na huu ni mwanzo. Baada ya hapo itakuwa zamu ya makunda na ndugai kwa kutetea mtaala wenye makosa.

Alipaswa kujiuzulu hata kabla ya kutangaza aibu ile.

Alikua bado anajitafakari mkuu, unakumbuka msemo wetu uleeee wa kawia ufike?
 

Mkuu ni kweli kabisa kuna vigezo vingi vilivyopelekea matokeo haya mabaya pamoja, lakini kila mmoja ana nafasi yake kuanzia waziri, wazazi na waalimu na bila kusahau wanafunzi wenyewe.

Yeye kujiuzulu tayari kutaanza kutoa mwanya wa kupatikana ufumbuzi wa mgogoro wa mfumo wa elimu yetu uliopo.
 
Ama kweli wewe ni domo kaya, hivi 65% ya watahiniwa waliofeli walikuwa wavuta bange na malaya?
 


NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS

S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21
Hapa zomba atakuambia ni matokeo ya MoU!

Of Course, wape portion ya MoU uone mabadiliko.
 
Ila hata kama akiondoka bado matokeo hayata badilika
Ni kuonyesha uwajibikaji na sio tu kwamba amesikitishwa bali pia ataonyesha kuwa hajaridhishwa na hilo, bila kujiuzulu, ujumbe atakaotuma ni kwamba anakubaliana na hali hiyo na tutashawishika kuamini kuwa ni sera ya serikali kuzalisha mbumbumbu ili watawalike kiurahisi.
ANGALIZO: wasimtoe kafara Ndalichako kwani yeye kazi yake ni kusahihisha tu, hahusiki na kufeli wala kufaulu kwa wanafunzi.
 
anaetakiwa kujiuzulu hapa ni NDALICHAKO na KAMATI YAKE YA KUTUNUKU MADARAJA yenye wajumbe SABA akiwemo ASKOFU MMOJA!! Ili ukubaliane na haya ninayokueleza rejea taarifa ya gazeti la TANZANIA DAIMA juu ya maelezo ya mmiliki wa shule ya GRiin eka.
Na kama si msahaulifu rejea uharibifu wa matokeo ya wanafunzi wa kiislaam mwaka jana uliofanywa kwa makusudi na hiyo kamati ya NDALICHAKO ikiongozwa na HUYO ASKOFU!! hapa kuna siri nzito iliyojificha!!
ukweli ukijulikana utakuwa mwisho wa ubabaishaji wote pale BARAZA LA MITIHANI!
TATIZO NI BARAZA LA MITIHANI na si SERIKALI!!
 
Pole watoto wetu! mjue nchi kuwakabidhi watu wasio makini ndo wamewafikisha watoto wetu hapa! ukifell form iv ujue hutasoma degree katika maisha yako! watanzania zinduka mtumie akili viongozi walioko madarakani kazi yao kubwa ni kuiba wala sio kusaidia jamii, kwanini msiwanyime kura mkawapa watu wengine wenye apenzi mema na nchi? Kwani shuru kwambwa anaweza kuboresha elimu? kwani kikwete anaweza kuboresha elimu?

kwani wasira (tyison) anaweza kuboresha elimu? Hivi mnategemea nini watanzania?

MLIWAHI KUSIKIA MKULIA ALIPANDA MAHINDI AKAVUNA MAHARAGE? KAZI KWENU WATANZANIA KUCHAGUA WEZI WA NCHI NDIO WANAHARIBU KIZAZI HIKI!
 
stepping down wont be the permanent solusion in the long run.Primary education should be closely supervised and useles competion btn education officers,coordinators and head teachers for promotion be prohibited if we real want to rescue the situation
 
Kwa Kikwete hizo ni kelele za mlango hazimnyimi mwenye nyumba kuchapa usingizi.
 

samahani tunaomba source
 
Aaachie tu madaraka...anafelisha watoto wa watu masomo na maisha pia......
 
Anaachia nafasi kwa faida ya nchi ama faida yake na familia yake tu?.kimusingi lawaama zangu ziwaendee wasomi nchii.ajzr
 
Of Course, wape portion ya MoU uone mabadiliko.

Hahaa...Sasa zomba si your best president JK alishawajibu kuwa na nyie muingie hiyo MoU unaonaje ukafunga safari kwenda hapo temeke uwaongoze hawa wenzio waingie hiyo MoU ili nao waongoze kitaifa?? Kubakia humu jukwaani ukilalamika sio jawabu la matatizo yenu, chukua hatua sahihi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…