Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

Suala la kujiuzulu au kutokujiuzulu kwa Waziri Kawambwa si utatuzi wa matatizo makubwa katika sekta ya elimu. Watanzania tuwe na utamaduni wa kutumia muda kutafakari pale jambo baya au zuri linapotokea. jambo lolote linapotokea ni vema kila mmoja wetu akajiuliza mambo yafuatayo;
  1. Tatizo ni nini?
  2. Nini chanzo cha tatizo?
  3. Je tatizo linatokea kwa mara ya kwanza au linatokea mara kwa mara?
  4. mazingira ya kutokea tatizo yapoje?
  5. nini ufumbuzi wa muda mfupi na mrefu (ni9ni kifanyike)
kutokana na hali hiyo, ninaamini kuwa ikiwa Dr Kawambwa atajiuzulu taifa halitapata nafasi tena ya kuangalia kwa kina chanzo cha tatizo hilo na badala yake wale wanaoshinikiza ajiuzulu wataandamana barabarani na kutumia majukwa yao ya kisiasa kushangilia hali hiyo.
 
kujiuzuru kwa kawabwa hakubadilishi division wala kufaulisha waliofeli na hata akiondoka hatujui atakaekuja itakuaje so vizur ni serikal kujipanga upya katika suala hili la elimu ili istokee tena kwa sababu elimu ndo moyo au engine ya nchi!
 
Hahaa...Sasa zomba si your best president JK alishawajibu kuwa na nyie muingie hiyo MoU unaonaje ukafunga safari kwenda hapo temeke uwaongoze hawa wenzio waingie hiyo MoU ili nao waongoze kitaifa?? Kubakia humu jukwaani ukilalamika sio jawabu la matatizo yenu, chukua hatua sahihi.

Iko njiani, usiwe na shaka, tutafika.
 
hahahahhaaaa ahaaaaaaaaaaaaaaa,fast what???tehe tehe teheeeeee,wafuatwe walimu kutoka marekani
 
Kawambwa hakuna kujiuzuru kwasababu ya ujinga wa wanafunzi wenyewe, hawajitumi kujifunza wanakesha kwenye majumba ya starehe na wako busy na teknohama. Kufaulu kwa mwanafunzi ni utayari wa mwanafunzi mwenyewe na kujituma katika masomo
 
Shoga yake Mkwele uyo suala la kujiuzuru halipo
Ni upepo tuu utapita
 
Back
Top Bottom