Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

Kwawamba Hatarini Kujiuzulu

[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h][h=1]
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
[/h][h=3]
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21 [/h]
Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.
 
Mkuu ukitaka ufe presha kwa haraka, wewe endelea kudhani kwamba hawa watu wana utamaduni wa kistaarabu kama huo. Hii mijitu, hata ikikutwa inam-baka mtoto mchanga lakini bado haioni kama hiyo ni sababu ya yenyewe kujiuzulu!
 
Mwaka huu jamaa huyu ndo Kawa-mbwa kabisa kuliko miaka mingine.
 
Tutegemee maandamano kwa waislam kuwa Shukuru ameonewa kwa uislam wake anae paswa ni Dr. Ndalichako
 
Mkuu,
JF ni platform ya Wananchi kupata na kutoa taarifa muhimu zinazohusu nchi yetu, Jamii na Ulimwengu kwa ujumla..naomba tuzingatie Hilo wakati tunaleta
" TETESI KUTOKA KWENYE JUNGU KUU"
Umepata ulichokijua ndo maana umejibu. Nadhani ni muhusika ndo unaghafirika. Vipi ningetangaza kuogombea ujumbe wa NEC... Ingekusaidia?????
 
aaaah, acha masihara wewe.....mtu na mpwawe! wameenda ku-discuss issues za kutoa wali(vigoli) kabla masika hayajaanza! we si unajua mambo yetu watu wa pwani, hususan kwa mkuu!
 
[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h][h=1]
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
[/h][h=3]
S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21 [/h]
Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.

headmaster wa hii shule anafanya nini ofisini hadi saa hizi???
Tena shule ya private???
 
Umepata ulichokijua ndo maana umejibu. Nadhani ni muhusika ndo unaghafirika. Vipi ningetangaza kuogombea ujumbe wa NEC... Ingekusaidia?????
Wewe ni mtu wa Tetesi tu na kudhani!? Huna hakika na lolote maishani. Kagombee hata Uraisi wa watanashati mimi hainihusu kitu. Halafu ukiamua kumquote mtu weka Content nzima ya taarifa au quote yenyewe.
 
ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.

Mimi siiamini hii taarifa and i will be the last one to believe.
 
headmaster wa hii shule anafanya nini ofisini hadi saa hizi???
Tena shule ya private???

NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS

S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL

DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21
Hapa zomba atakuambia ni matokeo ya MoU!
 
mwacheni kawambwa wa watu. watendaji wa juu wa wizara pamoja na necta ndo wastaafishwe kwa manufaa ya umma wakisubiri uchunguzi wa kina.
 
Ajiuzulu mara moja. tena si kwa kuwa ametishiwa maisha, bali kwa kuwa ameboronga kuliko waziri yeyote aliyepata kuwepo wizara ya elimu katika historia ya maisha ya wizara hiyo. Akisubiri muda mrefu atalazimishwa kujiuzulu na maelfu ya watu wenye uchungu na elimu yetu. sasa atamkumbuka Mbatia na hoja yake...ni heri angemsikiliza mBATIA WAKATI ULE ANGEONEKANA ANABUSARA KIDOGO
 
amejiaibisha alitakiwa siku anamaliza kutangaza tu papo hapo angeachia ngazi
 
Anapata ushauri kwanza, Laana zitamkalia na kusema tanzania ina Mitaala na Ndugai kumtetea, Litamkaa kabisa
 
kwani yeye ndio alifanya mitihani hadi ajiuzulu?
 
Halafu ukiamua kumquote mtu weka Content nzima ya taarifa au quote yenyewe.
Kazi za quotation peleka kwa MODs. Ndo mnajaza uzi kwa kuchukuwa content yote. Ndo maana zina namba ili kufanya reference.

Vipi jamaa kaka.. au???

Atang'oka kwa kuwa hawatumikii WaTZ bali matumbo yake.
 
Back
Top Bottom