Haliali
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 574
- 263
[h=2]NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA[/h][h=1]
Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
CSEE 2012 EXAMINATION RESULTS
[/h][h=3]S0497 TEMEKE YOUTH MUSLIM SECONDARY SCHOOL
[/h][h=3]DIV-I = 0 DIV-II = 0 DIV-III = 0 DIV-IV = 0 FLD = 21 [/h]Kwa matokeo hayo kwanini asiondoke? Ila kunawengine badala ya kusoma wanajifunza kareti na judo kwanini wa si FLD darasa zima. hahahahaah kazi kweli kweli.
ni habari za kuaminika kutoka chanzo cha karibu na kawambwa, chanzo hicho kimeendelea kudokeza kwamba, tangu atangaze matokeo ya kdt cha 4 siku chache zilizopita amekuwa akitumiwa ujumbe wa kumtukana na kutishiwa maisha na baadhi ya watu wasio julikana. 'nimekuwa nkitishiwa maisha, hii ni hatari kwangu na kwa familia yangu,hivyo haina budi ning'atuke kwa ajiri ya usalama wangu na familia yangu'kilisikika chanzo hicho kikimunikuu kawambwa.