Kwaya ya Mt. Kizito Makuburi chukueni hatua za kisheria dhidi ya Diamond & Zuchu

Bado tunaendelea kushikwa akili na hao watu weupe pamoja na petrol kuwa juu
 
Sisi waroma hatuna time, kupambana au kuwazihaki watu na dini zao, wao tu na mihemko dhid yetu, na wakumbuke Roma haikujengwa kwa siku moja.
 
Shida sana hawa wakristo wa sasa Yesu alikaa na walevi na wazinzi na waovu wengine, lengo ujumbe uwafikie wafanye mazuri, sasa nyie badala ya kumfikishia ujumbe mnataka aombe radhi huku ni kuchanganyikiwa
Tatizo fogo Nini tena wapigwe Sana mkuu na uko ofisini au Wanachama wa nchi hizo wakawaonya watu wanaotafutwa na kuwaambia wawe makini Kuna watu wanasema wanatumiaga hizo picha za mtu mzima mwenye watoto ndg zanguuuuuuuuuuuuu.
 
Chuki ni umaskini tuache chuki Diamond na Zuchu sio wakwanza kufanya kitu km icho apa Tanzania kuna wimbo wa banana zoro kaimbia kanisan unaitwa subira
 
Unadhani msikitini unaingia hivi hivi kwanza huingii na viatu pili mpaka ujisafishe sasa nyinyi hata mtu akitoka kula nguruwe na yeye anaenda kusifu bwana akienda chooni hanawi anaenda kushika kitabu kitakatifu nyie kwenu hamna masharti ya kuingia ndani hata kama ametoka kukata gogo.
 
Usome seminary wewe!!! Unajua lengo la seminary ni nini? Au umesoma shule zinazomilikiwa na kanisa unasema seminary.
Sisi wenyewe ni wskatoliki ila tulikosa sifa za kudoma seminary ije wewe maamuma?
Seminary ni shule maalumu, kwa watu maalumu, kwa lengo maalumu na mchakato wake ni maalumu, kuanzia jumuia, mtaa na parokia
Lazima uwepo uthibitisho kuwa umebatizwa

Lazima lengo na wito wako wa kuwa padre uonekane

Lazima utoke kwenye familia ya baba na mama wakatoliki waliofunga ndoa takatifu ya mke mmoja na
 
Umeshawasiliana na hao wamiliki wa huo wimbo, kama walilipwa? Kwa sanaa ya sasa hawezi kuchukua tu kazi ya mtu kiholela.

Nahisi watakuwa wamelipwa
 
Team Chawa mmepata heading.
Mnatiririka sasa
 
OK!siwezi na sijawahu kuangalia nyumba za diamond zaid ya sekunde 40 huwa nashindwa kabisa
 
Nilikuwa najiuliza tatizo lako nini, kumbe ushamba wa kijijini.

Yani mtu anamsifu Yesu wewe unasema anadhalilisha ukirsto, chuki zilizochanganyika na ushamba.
Nassib Abdul (Daimond) ni mjanja na anajua kulishika soko la muziki, maafisa masoko wake ni wazuri na wanajua wanachokifanya. Ndo maana hata mleta uzi kamfungulia uzi. Kibiashara ni kuwa kiki yake imetiki maana kwa uzi huu kila mmoja wetu atatafuta huo wimbo hivyo Bwana mdogo ukwasi utaongezeka.

Kuhusu kulidhalilisha Kanisa siyo kweli bali ni mihemko ya wenye imani kali.
 
Kuhusu kulidhalilisha Kanisa siyo kweli bali ni mihemko ya wenye imani kali.
Wakristo sisi ni moderate, Mungu wetu hapiganiwi, anajipigania.

Ninyi ndo extremists, mpaka mnadiriki kujilipua mabomu kumpigania ala wenu.

Ala wenu ni dhaifu, anapiganiwa vita na wanadamu.

Jilipueni sana kwa ajili yake, wale mabikira 70 kule kati washavua chupi
 
Mimi ni Mkatoliki through and through na nasema wimbo hauna tatizo lolote na ninawapongeza masista(nuns) waliotoa ruhusa baada ya kuona maudhui ya wimbo wenyewe, kwakuwa mimi ni Mkristo wa dhehebu la Catholic na ndilo lililotoa ruksa naamini huo ndiyo msimamo wa wengi wetu(catholics) hivyo basi uwepo wa individuals wenye mitazamo tofauti haiathiri mtazamo wa wengi.
 
Facts[emoji106]
 
Kwenye zoba hapo umechapia ile hawakua wanaenda kutongozana wale ni malariki pia ni wanakwaya nayule ndiomaana aliita zoba alikua hafunguki nn anata nawale walikua serious nawachofanya ninyimbo inayo angaliwa nayeyote haina kitu kibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…