Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
😀Tupiamo tuone,
By Mukassa hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀Tupiamo tuone,
By Mukassa hapa
Mtasubiri sanaKwenye ule wimbo wa Banana wa Zoba mbona wanaonesha wanaimba kwaya na wanatoka nje wanatongozana, Kimyaaaaaa
Kuna wimbo wa Rosa Ree I'm not Sorry anaingia Kanisani kavaa nusu uchi, kashika chupa ya pombe huku anavuta bangi akaenda hadi kwa Padri kuungama, kimyaaaaa
Kuna ile Movie ya Kibongo ya Sister Maria Uwoya alifanya kufuru mule ndani, Kimyaaaaaaa
Sio shabiki wa Mondi ila hapo naona ni chuki zimetumika, tuwaonee huruma hao vijana wanatafuta rizki kwa shida sana.
Ni wapuuzi na washenzi tu maana waliona ni rahisi kuingia kanisani kufanya ushenzi kuliko kufanya hivyo msikitini,
Sijui tungekuwa wapi watanzania kama na sisi mapadre na wachungaji wangekuwa wanahubiri mapanga na tindikali
Cc ROBERT HERIEL
Sasa Ibada gani wanawake wanavaa nusu uchi na nguo zilizobana,utadhani ni shindano LA ulimbwendeMarehemu mudi amewadanganya sana.
Labda yeye ndo alikuwa akienda msikitini kutafuta wanawake wa kungonoka, kanisa ni pahala patakatifu, watu huenda kutafuta huduma ya kiroho na siyo ngono
Huko Kanisani alivamia tu au aliruhusiwa na wahusika?Naona Ingependeza zaidi Kama Angekua Yupo Msikitini Ana Gonoka
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Swali zuri sanaHuko Kanisani alivamia tu au aliruhusiwa na wahusika?
Kama aliruhusiwa na wahusika kwanini wahusika wasiwe ndio watu wa kwanza kuhojiwa kama kilichofanyika ni kosa?
Ni wapumbavu sana nao na lawama hawaiepuki!?Huko Kanisani alivamia tu au aliruhusiwa na wahusika?
Kama aliruhusiwa na wahusika kwanini wahusika wasiwe ndio watu wa kwanza kuhojiwa kama kilichofanyika ni kosa?
Uislam ni Dini iliyosimama Imara yenye misimamo yake Madhubuti, nenda Kusini nenda Magharibi huwezi kukuta watu wakiuchezea shere Uislam,Kama mlivyo wafuasi wa marehemu mudi mnavyokwepa hoja ya msingi ya KWANINI WASIFANYIE HUO USHUZI WAO MSIKITINI ILIHALI WOTE NI WAISLAMU
Limeishiwa hoja,Marehemu mudi amewadanganya sana.
Labda yeye ndo alikuwa akienda msikitini kutafuta wanawake wa kungonoka, kanisa ni pahala patakatifu, watu huenda kutafuta huduma ya kiroho na siyo ngono
Hoja yako ilikuwa nini ewe mfuasi wa marehemu mudi?Mbona hizo nyimbo za dini zinapigwa clubs na bars watu wakiwa wamelewa na wanaimba na kucheza hawajawahi kulalamika"
Samaleko Abdallah JumaMimi ni mkiristo kabisa sioni shida yoyote kwenye ule wimbo. “ IFIKE MAHALI WAKRISTO TUACHE MIHEMUKO ! ... kama ameshakubali kuwa Yesu ni Mwema sana kwanini roho zetu zimekuwa na ufitina sasa !! .... Msanii ameakisi kile kilichopo kwenye jamii hivi sasa !! Miaka 29 ya ukristo “Mungu awasaidie kuelewa tangulizeni hekima mbele”