Sun Zu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2022
- 636
- 1,819
- Thread starter
- #21
Binafsi nimedeclare interest ni shabiki wa nyimbo zake sana tu, nikiwa kama shabiki wake nawezaje kuwa na chuki naye?Sio shabiki wa Mondi ila hapo naona ni chuki zimetumika, tuwaonee huruma hao vijana wanatafuta rizki kwa shida sana.
Hizo nyimbo za Rosa Ree mimi hata sizijui sijawahi sikia achilia mbali kuuona, ingetokea kuuona basi tungemkemea na hata kushinikiza achukuliwe hatua ikionekana kazingua.
Huo wa Zoba sikumbuki kuupa uzito miaka hiyo.
Hiyo bongo movie unayozungumzia ndo kabisa nasikia tu majina ya waigizaji yakitamkwa na wanafamilia nyumbani, sinaga muda na movies.
Hata hivyo hayo hayahalalishi ushuzi uliofanywa na hawa wawili wa WCB.
Hatuwezi kuhalalisha uhuni kama huu eti kwa sababu fulani alishafanyaga uhuni kama huu.
Ndugu zetu waislam tunawafaham vyema, ninyi imani yenu ikiguswa kidogo tu ni mapanga na tindikali.
Hebu fikiri siku inatokea msanii mkristo aigize yupo kwenye nyumba zenu za ibada anafanya mambo ya kiimani kisha punde yupo kitaa anakata vinywaji na Mshana Jr pembeni watoto wazuri na sinia la kitimoto?