Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,263
- 18,201
She is so talented basi tu hapewi airtime ya kutoshaNamkubali Rosa Ree, anajitahidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
She is so talented basi tu hapewi airtime ya kutoshaNamkubali Rosa Ree, anajitahidi
Hebu nipishe mie,Hiyo video imeanza na disclimmer, and kwake sio issue kwa Kua ni Imani yake. Tuliza akili utagundua Kua mmekosea, shida hata ubongo wako umeshaharibiwa na wasafi unaamini kila wanalofanya wako sahihi
Una Matatizo ya akili,Kama mtu ameiba afu kwa bahati yake hakukamatwa, haifanyi wizi kuwa halali!
🚮🚮🚮Una Matatizo ya akili,
[emoji1782]
Nenda ukanyeHebu nipishe mie,
[emoji706]
Indeed, she's so versatile and creative.She is so talented basi tu hapewi airtime ya kutosha
Punguza Jazba
Mimi ni mkiristo kabisa sioni shida yoyote kwenye ule wimbo. “ IFIKE MAHALI WAKRISTO TUACHE MIHEMUKO ! ... kama ameshakubali kuwa Yesu ni Mwema sana kwanini roho zetu zimekuwa na ufitina sasa !! .... Msanii ameakisi kile kilichopo kwenye jamii hivi sasa !! Miaka 29 ya ukristo “Mungu awasaidie kuelewa tangulizeni hekima mbele”
Ni wapuuzi na washenzi tu maana waliona ni rahisi kuingia kanisani kufanya ushenzi kuliko kufanya hivyo msikitini,Sio mihemuko, kaa utulize akili, Naseeb pamoja za zuhura walikaaje wakafikiria kuingia kanisani na kufanya Hilo igizo badala ya kwenda msikitini?
Ni rahisi Sana wao kwenda msikitini kwa Kua wote ni waisilamu, wakaanzaje kupata wazo la kwenda kuigizia kanisani?
Tafsiri yake ni kwamba umedharau Imani ya wenzio.
Kubalini tu kwamba mmekosea na kuomba radhi, ndio uungwana wenyewe, sio kila siku lawama kwa basata hata Kama tatizo liko kwenu.
Though siujui huo wimbo na huwa sifuatilii!Embu jiulize ingekuwa Wakristu wawili, wanaigiza wanapigiana simu mmoja yupo msikitini, anatoka anaanza kutongozwa hali ingekuwaje? Embu tuendelee kuheshimu imani za watu wengine hata kama kwa imani zetu tunaafikiri wanatenda makosa, tuwaache na makosa yao kwa kuwa hayaingilii uhuru wetu.Lakini tusifanye jambo lolote la kuonyesha kuwa imani ya mwenzako ni dhaifu
Walikuwa na uwezo kabisa kipande hicho, wakafanyia msikitini kwa kuwa wote ni waislam, na Tanzania miskiti ipo kila mtaa na huyo binti angeitwa akiwa anaimba qaswida, isingeleta shombo yoyote
Kumbe![emoji848]Bint, mkristo, katika mazoezi ya kwaya ya kumsifu Mungu anaona simu ya mhuni, anatoka kuipokea anapigwa vocal, anaona kwaya upuuzi analala mbele kwa muhuni wake.
Kwamba masifu kwa Mungu hayana uzito kwa ukristo ila uhuni na uasherati unatuzidi, hii ni tafsiri kwamba imani ya kikristo ni dhaifu na ndio maana wameamua kuichezea chezea
AfadhaliWimbo umefungiwa