Tetesi: Kwaya ya Mt. Kizito yaalikwa UK

Tetesi: Kwaya ya Mt. Kizito yaalikwa UK

Lilipo Hilo Kanisa ni Ulaya Kabisa iliyo Tz panaitwa Kunduchi Mtaa wa Kilongawima(Wanaishi Watu Wasomi Sana hasa waliosoma Ulaya na nimatajiri) hivyo sioni Cha kushangaza kupata hiyo connection .
Sawa Pisi Kali
 
Mkuu umechanganya kidogo boss. Kuna Parokia ya Mt. Kizito na Kwaya ya Mt. Kizito.

Kwaya ya Mt. Kizito iko Parokia ya Mwenyeheri Anuarite, Makuburi, Ubungo. Hii unayoeleza ni Parokia ya Mt. Kizito iko Kilongawima, Kunduchi. Mt. Kizito ya Kilongawima ni kanisa na si kwaya.
 
Nyie mnao ongelea Kaswida,huo msiba wenu unahusiana vipi na kaswida??

Ushabiki wa kipuuzi puuzi,

Halafu jf kuna wapuuzi wengi sijapata ona,
 
Mkuu umechanganya kidogo boss. Kuna Parokia ya Mt. Kizito na Kwaya ya Mt. Kizito.

Kwaya ya Mt. Kizito iko Parokia ya Mwenyeheri Anuarite, Makuburi, Ubungo. Hii unayoeleza ni Parokia ya Mt. Kizito iko Kilongawima, Kunduchi. Mt. Kizito ya Kilongawima ni kanisa na si kwaya.
Umemaliza ansahau parokia ya Mt.Gasper de bufalo Ina watu wanene pia
 
Tangu Afe Hakuna Hata Kwaya Yoyote London
Leo Ndiyo Waalikwe Hao, Hapo Hakuna Tetesi Yoyote
 
Vp tunaenda kuimba kiingereza au kiswahili tu? Kama ni kiswahili sa wataelewa kweli hao wadhungu? Watafarijika vp
 
Zebron singers nao waalikwa kwa ruto

Vp wale wasanii wenu wapiga kelele

Sijui kainama kaboka vp mualiko

Ova
 
DAR-LHR-DAR Turkish airlines ndio cheap DEPARTURE: 19.09....RETURN 30.09
 
Lilipo Hilo Kanisa ni Ulaya Kabisa iliyo Tz panaitwa Kunduchi Mtaa wa Kilongawima(Wanaishi Watu Wasomi Sana hasa waliosoma Ulaya na nimatajiri) hivyo sioni Cha kushangaza kupata hiyo connection .
Uongo utakusaisia nini mkuu? Mabibo na Kunduchi ni sawa? Au umekuja dar na mbio za mwenge? Pia nikwambie mtoa mada kaamua kufurahisha genge tu
 
Back
Top Bottom