Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,186
- 3,308
Sheria zetu nazo jau sasa mnampelekaje mtu mahakama ambayo aina uwezo kisheria kusikiloza shauri lake muda muda aki inacheleweshwa
Mimi huwaga sijui wanachunguza nini, hiyo kesi ni manslaughter, kuna provocation, anafungwa miezi miwili akaoe mwanamke mwingine amtie adabu. HUTAKI ANDAMANA.
Natamani kupata majibu pia!?Sasa kama hyo mahakama Haina mamlaka ya kumsikiliza kesi za mauaji wamempeleka kufanya nini?
Ndivyo ikatavyokuwa hivyoHata kisutu haina mamlaka generally. Case the murder ni za mahakama kuu tu. Usipokuwa mahakama ya kisutu hakimu anaweza kupewa mamlaka maalum (extended jurisdiction)ya kusikiliza case ya murder .
We ni mgeni wa hizo kesi kwaniSasa kama mahakama haina uwezo wa kusikilia kesi yake walimpeleka hapo kufanya nn sasa
Halafu mahakama kuu sio mbali kutoka hapo hata kwa mguu unafika. Miezi 8 Ni mingi mno.ni utaratibu kabisa huo kesi ya mauaji kuanza hivyo, hapo kinondoni ana miezi kama 8 hv au miaka kadhaa,ndio wafike mahakama kuu
Binafsi yangu hata mimi sioni kosa hapa.Mimi huwaga sijui wanachunguza nini, hiyo kesi ni manslaughter, kuna provocation, anafungwa miezi miwili akaoe mwanamke mwingine amtie adabu. HUTAKI ANDAMANA.
Kesi za hivyo nyingi wanatoka bila mapema sanaHuyo maisha yake yote atamalizia jela
hahahahaha wanaanzia mahakama ya mwanzo pale anasomewa shtaka lake ,kisha wanakufungia PI, Hapo atasota sana kabla faili kupelekwa mahakama kuu ,labda uapnde wa mashtaka wakamilishe upepelezi mapemaHalafu mahakama kuu sio mbali kutoka hapo hata kwa mguu unafika. Miezi 8 Ni mingi mno.
Sa ingine ukitulizaga sampampa unakuaga na akili kaboby😋Huo uchunguzi na upelezi wa nini? Wakati aliyeua ndiye aliyejisalimisha polisi, si kuweka tu hukumu basi.
Duuh.
Aya bas hukumu yake anatakiwa awe huru,kaua kwakutokusudia, hapo vipHuo uchunguzi na upelezi wa nini? Wakati aliyeua ndiye aliyejisalimisha polisi, si kuweka tu hukumu basi.
Duuh.
Ameua kwa kukusudia, na awekwe jela maisha.Aya bas hukumu yake anatakiwa awe huru,kaua kwakutokusudia, hapo vip
Yess!! Si unajua tenaa! 😂😂Sa ingine ukitulizaga sampampa unakuaga na akili kaboby😋