Ngorunde
Platinum Member
- Nov 17, 2006
- 5,883
- 12,570
Asilimia kubwa ya hayo mambo yaliyoainishwa hapa yanapaliliwa na wazungu kwa maslahi yao.
Akitokea kiongozi wa Afrika ambaye anataka kubadilisha hiyo taswira hao jamaa watamwandama na ikibidi watamwua kabisa...mfn: Ghadafi wa Libya.
Wazungu baada ya kuujua ukweli kwamba Afrika imehodhi asilimia kubwa ya utajiri wa dunia, waliandaa na kuweka mikakati ya muda mfupi na mrefu kuhakikisha wanaendelea kuvuna huu utajiri.
Miongoni mwa hiyo mikakati;
- Ule mfumo wa awali wa kutunyang'anya tawala zetu, imani zetu na kuweka za kwao na kufanikiwa kututawala.
- Ukoloni mamboleo, ambao tunapangiwa cha kuongea, kufanya na aina ya utawala ambavyo vyote hivyo ni lazima viwe ni kwa maslahi yao.
- Maradhi ya kutengeneza kutoka kwenye maabara zao. Mfano HIV, maradhi ya namna hii lengo lake ni moja tu..waafrika tutumie muda wetu mwingi kupambana nayo..na kwa vile hatuna uwezo tutawaruhusu waje wavune rasilimali kwa mufaa yao na sisi tunaambulia kupatiwa dawa.
- Wanatengeneza uhasama bandia kati ya watawala makundi mengine ya kijamii katika nchizetu(haswa zenye utajiri mkubwa wa maliasili), wanauza silaha ambazo zinanunuliwa kwa mapato ya mauzo ya maliasili na ambazo pia wanauziwa wao. Mzunguko ambao nchi haibaki na chochote zaidi ya makaburi.
- Yako mengi!
Wazungu hawajawahi na hawatakaa wawapende waafrika.