Kweli ambazo ni LAZIMA CCM /SAMIA wazikubali, ili Kuiponya NCHI ndani na Kimataifa , na waepukane na ADHABU za Kimataifa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
1-Hamna aliyewahi anzisha Vita na KATOLIKI akatoboa .... Yaan Msukumo wa US na EU kwa CCM na Wauaji wake, unatokana na Taarifa zinazoandikwa na KATOLIKI ...... Hawa wanaaminika DUNIANI na MBINGUNI.

2-Huwezi kuua Raia Oktoba 29 Kwa MAELFU vile, alafu DUNIA ikae inakuangalia tu . NEEVEEEEER !! (Durtete aliua Makumi tu, ila Dunia imemkalia Kooni).

3-NI KUJILISHA UPEPO KWA SAMIA NA MAWAZIRI WAKE WANAOKUJA KILA SIKU NA MATAMKO YAAAA
-tunaweza kujitegemea wenyewe
-Maendeleo kwa Pesa yetu wenyewe
-Mikopo na Misaada sio KITU, watunyime tuu.

OYAA TUNAJUA NYIE MNAKULA KODI ZETU, HIVO MAADAMU MKO MADARAKAN, HAMUATHIRIKI , KWA KULIJUA HIYO, M-BINYO WA KIMATAIFA NA ADHABU ZAKE UKO PALEPALE, MUWE mnaweza endesha NCHI bila MISAADA na Mikopo , Mtaadhibiwa tu .

Yaan Uue watu, alafu eti kisa unaweza endesha NCHI yako kwa mapato yako, basi Dunia iseme 'Basi banaa hamna namna, ngoja tukuache tuu"... CCM embu acheni mawazo ya kitahira kama haya.

5-LISSU AACHIWE MARA MOJA ( Huyu ndio MTANZANIA PEKEE ANAYEWEZA KUWAAMBIA US / EU , Ndugu zangu ,Washirika Wetu, Rafiki zetu, tumeamua kuridhiana . MSIOGOPE KUMWACHIA LISSU, HATA MANDELA ALIPOACHIWA NA MAKABULU, ALIWASAMEHE ,HAKULIPA KISASI .

6-UTEKAJI, VITISHO NA MAUAJI HAKUWEZI KUPONYA NA KULETA AMANI .
Asili ya Mwanadamu, hata kama yeye ni Mkurya lkn Ameutekwa na Kuuwawa Msambaa, basi Mkurya huyu hubeba hizo HISIA za Majonzi na Hasira na Chuki juu ya walotekeleza unyama huo.

Niliwahi sema, Matendo yenu yatazalisha Chuki na Kisasi kwa vizazi na vizazi.

7-KUISHAMBULIA CHADEMA, ni upotevu wa Muda ,yaani Imani ya Watanzania kwa CHADEMA ni sawa na WAPALESTINA au WAISRAEL . .... Wananchi hawaioni CHADEMA kama Chama, wanaona ndio mahala wanaposikilizwa na kubebewa Matumaini yao. .... SIKU CHADEMA IKIKAA KIMYA, HAITACHUKUA MUDA MREFU KUTOKEA VITA NCHINI NA VITAONGOZWA NA WANANCHI WENYEWE.

👉👂
Muachieni Lissu , Tafuteni Mediator, Kaeni na LISSU/CHADEMA .....
Kubalianeni yaliyotokea, kwamba yalotokea yanamuathiri Kila Mtu ,Viongozi wa Serikali, Bunge, MAHAKAMA, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Kwa pamoja na vizazi VYENU .

Kwa Mantiki hiyo, ni mamia na MAELFU ya watu ambao wataathirika endapo DUNIA itachukua Hatua na ADHABU ZAKE.

Mkubaliane ,masuala yote na Yatekelezwe .

Na kwakua ni makubaliano, Hata Baada ya Uchaguzi Mpya, atakyekua ameshinda, awalinde na nyie waovu kwakua mmekubaliana Kuridhiana YAAN NCHI INAKUA IMEANZA UPYA.

👉Madhara ya kutofanya hivo, Utekaji, mauaji vitaendelea ili nyie mjilinde na kwa kunhold madaraka ,,,, wananchi watazidi kusema na kupiga vita , na kwa wakati wake kitakua kibaya, kimataifa mtawajibishwa, mnaweza kua majeuri wa muda, ila litakapofika anguko lenu katikati ya kiburi chenu, itakua ni kilio cha kusaga meno kitakachowaathiri sio nyinyi tu bali na vizazi vyenu vyoteee!!.
 
1-Hamna aliyewahi anzisha Vita na KATOLIKI akatoboa .... Yaan Msukumo wa US na EU kwa CCM na Wauaji wake, unatokana na Taarifa zinazoandikwa na KATOLIKI ...... Hawa wanaaminika DUNIANI na MBINGUNI.
hii ni sahihi sana.wakayoliki ni wasomi sana.sasa unapogombana na hawa majamaa sijui unakuwa unatafuta nini. harafu wako wengi mno kuliko dini zote
 
2-Huwezi kuua Raia Oktoba 29 Kwa MAELFU vile, alafu DUNIA ikae inakuangalia tu . NEEVEEEEER !! (Durtete aliua Makumi tu, ila Dunia imemkalia Kooni).
hii hapa imekaa vibaya .lakini yale hayakuwa maandamano kusema ukweli.zilikuwa vurugu.hili nitalisema daima mpaka nalala kaburini.lakini huwa nasema kuwa hukumu ya mwenye kuleta vurugu siyolazima kifo.kosa lilikuwa kwamba hakuna njia ilitumika kumpa tahadhali mharifu /mleta vulugu kwamba asiendelee na vurugu zake .
 
1-Hamna aliyewahi anzisha Vita na KATOLIKI akatoboa .... Yaan Msukumo wa US na EU kwa CCM na Wauaji wake, unatokana na Taarifa zinazoandikwa na KATOLIKI ...... Hawa wanaaminika DUNIANI na MBINGUNI.

2-Huwezi kuua Raia Oktoba 29 Kwa MAELFU vile, alafu DUNIA ikae inakuangalia tu . NEEVEEEEER !! (Durtete aliua Makumi tu, ila Dunia imemkalia Kooni).

3-NI KUJILISHA UPEPO KWA SAMIA NA MAWAZIRI WAKE WANAOKUJA KILA SIKU NA MATAMKO YAAAA
-tunaweza kujitegemea wenyewe
-Maendeleo kwa Pesa yetu wenyewe
-Mikopo na Misaada sio KITU, watunyime tuu.

OYAA TUNAJUA NYIE MNAKULA KODI ZETU, HIVO MAADAMU MKO MADARAKAN, HAMUATHIRIKI , KWA KULIJUA HIYO, MBINYI WA KIMATAIFA NA ADHABU ZAKE ULO PALEPALE, MUWE mnaweza endesha NCHI bila MISAADA na Mikopo , Mtaadhibiwa tu .

Yaan Uue watu, alafu et kisa unaweza endesha NCHI yako kwa mapato yako, basi Dunia iseme 'Basi banaa hamna namna, ngoja tukuache tuu"... CCM embu acheni mawazo ya kitaira kama haya.

5-LISSU AACHIWE MARA MOJA ( Huyu ndio MTANZANIA PEKEE ANAYEWEZA KUWAAMBIA US / EU , Ndugu zangu ,Washirika Wetu, Rafiki zetu, tumeamua kuridhiana . MSIOGOPE KUMWACHIA LISSU, HATA MANDELA ALIPOACHIWA NA MAKABULU, ALIWASAMEHE ,HAKULIPA KISASI .

6-UTEKAJI, VITISHO NA MAUAJI HAKUWEZI KUPONYA NA KULETA AMANI .
Asili ya Mwanadamu, hata kama yeye ni Mkurya lkn Ameutekwa na Kuuwawa Msambaa, basi Mkurya huyu hubeba hizo HISIA za Majonzi na Hasira na Chuki juu ya walotekeleza unyama huo.

Niliwahi sema, Matendo yenu yatazalisha Chuki na Kisasi kwa vizazi na vizazi.

7-KUISHAMBULIA CHADEMA, ni upotevu wa Muda ,yaani Imani ya Watanzania kwa CHADEMA ni sawa na WAPALESTINA au WAISRAEL . .... Wananchi hawaioni CHADEMA kama Chama, wanaona ndio mahala wanaposikilizwa na kubebewa Matumaini yao. .... SIKU CHADEMA IKIKAA KIMYA, HAITACHUKUA MUDA MREFU KUTOKEA VITA NCHINI NA VITAONGOZWA NA WANANCHI WENYEWE.

👉👂
Muachieni Lissu , Tafuteni Mediator, Kaeni na LISSU/CHADEMA .....
Kubalianeni yaliyotokea, kwamba yalotokea yanamuathiri Kila Mtu ,Viongozi wa Serikali, Bunge, MAHAKAMA, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Kwa pamoja na vizazi VYENU .

Kwa Mantiki hiyo, ni mamia na MAELFU ya watu ambao wataathirika endapo DUNIA itachukua Hatua na ADHABU ZAKE.

Mkubaliane ,masuala yote na Yatekelezwe .

Na kwakua ni makubaliano, Hata Baada ya Uchaguzi Mpya, atakyekua ameshinda, awalinde na nyie waovu kwakua mmekubaliana Kuridhiana YAAN NCHI INAKUA IMEANZA UPYA.

👉Madhara ya kutofanya hivo, Utekaji, mauaji vitaendelea ili nyie mjilinde na kwa kunhold madaraka ,,,, wananchi watazidi kusema na kupiga vita , na kwa wakati wake kitakua kibaya, kimataifa mtawajibishwa, mnaweza kua majeuri wa muda, ila litakapofika anguko lenu katikati ya kiburi chenu, itakua ni kilio cha kusaga meno kitakachowaathiri sio nyinyi tu bali na vizazi vyenu vyoteee!!.
this is completely useless gentleman 🐒
 
3-NI KUJILISHA UPEPO KWA SAMIA NA MAWAZIRI WAKE WANAOKUJA KILA SIKU NA MATAMKO YAAAA
-tunaweza kujitegemea wenyewe
-Maendeleo kwa Pesa yetu wenyewe
-Mikopo na Misaada sio KITU, watunyime tuu.
mzungu siyo wa kumjibu kwa kejeli.wale ni matajiri wa ulimwengu. sisi mpaka sasa hata kutengeneza chupi hatujaweza ,tunavaa nguo kutoka kwao ,saa kutoka kwao, tunatembelea magari kutoka kwao ,tunatibiwa kwa dawa kutoka kwao .imagine hata kijiko tunachotumia kula ubwabwa kinatoka kwao. tunaitaji busara kuwajibu .
 
5-LISSU AACHIWE MARA MOJA ( Huyu ndio MTANZANIA PEKEE ANAYEWEZA KUWAAMBIA US / EU , Ndugu zangu ,Washirika Wetu, Rafiki zetu, tumeamua kuridhiana . MSIOGOPE KUMWACHIA LISSU, HATA MANDELA ALIPOACHIWA NA MAKABULU, ALIWASAMEHE ,HAKULIPA KISASI .
kesi ingepelekwa kisheshi jeshi ili iishe. tunaweza kumtia hatiani lakini tukamsamehe .shida ya Tl ni mtu mwenye visasi.je akisamehewa atakuwa mtulivu?.nampenda mzee Mbowe. usijiamiishe kwa maberu.wale ni opportunistic.

kwenye siasa hamnaga haraka.sasa Tl Anakuwa na haraka sana .
 
UTEKAJI, VITISHO NA MAUAJI HAKUWEZI KUPONYA NA KULETA AMANI .
Asili ya Mwanadamu, hata kama yeye ni Mkurya lkn Ameutekwa na Kuuwawa Msambaa, basi Mkurya huyu hubeba hizo HISIA za Majonzi na Hasira na Chuki juu ya walotekeleza unyama huo.
huu ni ugonjwa mbaya sana kwa taifa.sijajua mtekaji ni nani.lakini tunatengeneza taifa la hatari sana hapo baadaye. silaha sitaweza kuzagaa mitani. watu wataamua kujilinda kwa wanavyojua .tutafute sababu ya watu kutekwa ,nani anateka na kwalengo gani.
 
Hamna aliyewahi anzisha Vita na KATOLIKI akatoboa .... Yaan Msukumo wa US na EU kwa CCM na Wauaji wake, unatokana na Taarifa zinazoandikwa na KATOLIKI ...... Hawa wanaaminika DUNIANI na MBINGUNI.
Upumbavu uliowajaa vichwani wakati Trump kamdhalilisha huyo papa wenu mchana kweupe
 
Mimi msimao wangu Lissu atolewe na nchi iponye ila kuhusu US na EU kuja kusaidia watanzania hili silioni. Hao wenyewe wana wabagua weusi wa nchi zao hivi kweli watakuwa na upendo na weusi wa Tanzania?.

US na EU ni nchi zenye kuangalia maslahi yao binafsi sio ya wanaadamu wengine.
 
mzungu siyo wa kumjibu kwa kejeli.wale ni matajiri wa ulimwengu. sisi mpaka sasa hata kutengeneza chupi hatujaweza ,tunavaa nguo kutoka kwao ,saa kutoka kwao, tunatembelea magari kutoka kwao ,tunatibiwa kwa dawa kutoka kwao .imagine hata kijiko tunachotumia kula ubwabwa kinatoka kwao. tunaitaji busara kuwajibu .

Ni mpumbavu pekee ndiye anaweza kusema kuwa eti wazungu hawawezi kutubabaisha. Hivi wanaosema hivyo, wanajua kuwa:
Bila hao wazungu, dhahabu yenu, almasi yenu, REE zenu, havina maana yoyote? Hivyo vitu vina thamani kwa sababu wazungu wanavitaka.
Asiyejua, ayaulize mataifa ya Afrika yaliyowekewa vikwazo vya kutonunuliwa madini yao, jinsi hali ilivyokuwa:
Zimbabwe: In the early 2000s, the UN and Western nations imposed targeted financial and trade restrictions; while not a total mineral embargo, the measures heavily sanctioned state-owned diamond mining entities (e.g., Marange diamonds) due to human rights and governance concerns.
 
Mimi msimao wangu Lissu atolewe na nchi iponye ila kuhusu US na EU kuja kusaidia watanzania hili silioni. Hao wenyewe wana wabagua weusi wa nchi zao hivi kweli watakuwa na upendo na weusi wa Tanzania?.

US na EU ni nchi zenye kuangalia maslahi yao binafsi sio ya wanaadamu wengine.

Nguvu za Waafrika zilishindwa kukomesha ubaguzi wa rangi wa makabuu Afrika. Vikwazo vya Marekani, mara moja viliwafanya makaburu wasalimu amri.
 
Baada ya Marekani na EU kuambiwa na nchi za Africa kuwa watavunja mikataba na makampuni ya uchimbaji wa madini. Pili walipo waambia Marekani na EU watakwenda USSR kuomba msaada wa kuwaondoa makaburu.

Kumbuka makaburu ni zao la UK,Netherlands na German ndio maana hata ardhi ya South Africa asilimia 75% bado ipo kwa makaburu. Sasa utaondoa vipi mkoloni lakini bado anamiliki asilimia yote ya ardhi yako?.
 
Kwenye ukumma kumma wako huo usiwe unaingiza kabila la wakurya tombanyoko...

Vipi wakurya walikufirra wewe au mamako?
 
Back
Top Bottom