1-Hamna aliyewahi anzisha Vita na KATOLIKI akatoboa .... Yaan Msukumo wa US na EU kwa CCM na Wauaji wake, unatokana na Taarifa zinazoandikwa na KATOLIKI ...... Hawa wanaaminika DUNIANI na MBINGUNI.
2-Huwezi kuua Raia Oktoba 29 Kwa MAELFU vile, alafu DUNIA ikae inakuangalia tu . NEEVEEEEER !! (Durtete aliua Makumi tu, ila Dunia imemkalia Kooni).
3-NI KUJILISHA UPEPO KWA SAMIA NA MAWAZIRI WAKE WANAOKUJA KILA SIKU NA MATAMKO YAAAA
-tunaweza kujitegemea wenyewe
-Maendeleo kwa Pesa yetu wenyewe
-Mikopo na Misaada sio KITU, watunyime tuu.
OYAA TUNAJUA NYIE MNAKULA KODI ZETU, HIVO MAADAMU MKO MADARAKAN, HAMUATHIRIKI , KWA KULIJUA HIYO, M-BINYO WA KIMATAIFA NA ADHABU ZAKE UKO PALEPALE, MUWE mnaweza endesha NCHI bila MISAADA na Mikopo , Mtaadhibiwa tu .
Yaan Uue watu, alafu eti kisa unaweza endesha NCHI yako kwa mapato yako, basi Dunia iseme 'Basi banaa hamna namna, ngoja tukuache tuu"... CCM embu acheni mawazo ya kitahira kama haya.
5-LISSU AACHIWE MARA MOJA ( Huyu ndio MTANZANIA PEKEE ANAYEWEZA KUWAAMBIA US / EU , Ndugu zangu ,Washirika Wetu, Rafiki zetu, tumeamua kuridhiana . MSIOGOPE KUMWACHIA LISSU, HATA MANDELA ALIPOACHIWA NA MAKABULU, ALIWASAMEHE ,HAKULIPA KISASI .
6-UTEKAJI, VITISHO NA MAUAJI HAKUWEZI KUPONYA NA KULETA AMANI .
Asili ya Mwanadamu, hata kama yeye ni Mkurya lkn Ameutekwa na Kuuwawa Msambaa, basi Mkurya huyu hubeba hizo HISIA za Majonzi na Hasira na Chuki juu ya walotekeleza unyama huo.
Niliwahi sema, Matendo yenu yatazalisha Chuki na Kisasi kwa vizazi na vizazi.
7-KUISHAMBULIA CHADEMA, ni upotevu wa Muda ,yaani Imani ya Watanzania kwa CHADEMA ni sawa na WAPALESTINA au WAISRAEL . .... Wananchi hawaioni CHADEMA kama Chama, wanaona ndio mahala wanaposikilizwa na kubebewa Matumaini yao. .... SIKU CHADEMA IKIKAA KIMYA, HAITACHUKUA MUDA MREFU KUTOKEA VITA NCHINI NA VITAONGOZWA NA WANANCHI WENYEWE.
👉👂
Muachieni Lissu , Tafuteni Mediator, Kaeni na LISSU/CHADEMA .....
Kubalianeni yaliyotokea, kwamba yalotokea yanamuathiri Kila Mtu ,Viongozi wa Serikali, Bunge, MAHAKAMA, Vyombo vya Ulinzi na Usalama Kwa pamoja na vizazi VYENU .
Kwa Mantiki hiyo, ni mamia na MAELFU ya watu ambao wataathirika endapo DUNIA itachukua Hatua na ADHABU ZAKE.
Mkubaliane ,masuala yote na Yatekelezwe .
Na kwakua ni makubaliano, Hata Baada ya Uchaguzi Mpya, atakyekua ameshinda, awalinde na nyie waovu kwakua mmekubaliana Kuridhiana YAAN NCHI INAKUA IMEANZA UPYA.
👉Madhara ya kutofanya hivo, Utekaji, mauaji vitaendelea ili nyie mjilinde na kwa kunhold madaraka ,,,, wananchi watazidi kusema na kupiga vita , na kwa wakati wake kitakua kibaya, kimataifa mtawajibishwa, mnaweza kua majeuri wa muda, ila litakapofika anguko lenu katikati ya kiburi chenu, itakua ni kilio cha kusaga meno kitakachowaathiri sio nyinyi tu bali na vizazi vyenu vyoteee!!.