kweli ananipenda huyu....?

kweli ananipenda huyu....?

atakuwa anapenda vitu vyako na sio wewe kama wewe,, ujue katka mapenzi lazima moyo wa mtu udondoke sehem!! yawezekana mapenz yake ya dhat yapo kwa huyo mwenzio na hawez kumuacha hata kama utampa kila kitu!
ni PM nikushauri zaid coz kuna vingne sio vzur kuvweka hapa

pouwaaah!
 
Huyo anakupotezea muda tu, kama huamini subiri muda ukifika atakutelekeza.
Tafuta maisha yako achana naye.
 
Ukishikwa shikamana.Ukijiachia shauri yako.
Mwenzio aarusha shilingi juu.You may be head or tail.Possible shilingi ikaangukia head or tail.Kama upo tayari ku take risk just go on.
 
wewe nenda kajisalimishe mwenyewe polisi kwa kosa la utoaji mimba,kwanini ushike mimba wakati hutaki kuzaa.

halafu anakuja kututangazia hapa kuwa alitoa mimba!

Anyway,pamoja na kutoa mimba yake ila ukweli unabaki palepale,huyo kaka hakupendi na ndio maana amekubali utoe hiyo mimba.
 
anampenzi nyumbani kwao ila kila 2kigombana anaomba msamaha 2narudiana na nimetoa mimba yake kwani nmeona hatuna future ila nampenda sana hyu mwanaume...kitandani najitahidi kumpa kile anachostahili kwani nmefundwa kwetu Tanga na anasema nampa kile anataka ila bado haachani na hyo msichana wakati aliahidi kumuacha..!

wewe kweli mkali! pamoja na kujua jamaa ana mpenzi nyumbani bado wacheza mechi bila zana!
tupo wangapi? stuka bidada
 
Laghai huyo atakumiza wahi mapema wewe ma

Mapenzi hayana shule utampata mwingine mkali zaidi yake kwani kama ilivyo kwa wanawake kutaka kuonyesha ufundi na wanaume pia wanajituma vema utampata wa kuyamudu majambozi niamini mimi.
 
Back
Top Bottom