kweli ananipenda huyu....?

kweli ananipenda huyu....?

Tracylyne

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
12
Reaction score
0
anampenzi nyumbani kwao ila kila 2kigombana anaomba msamaha 2narudiana na nimetoa mimba yake kwani nmeona hatuna future ila nampenda sana hyu mwanaume...kitandani najitahidi kumpa kile anachostahili kwani nmefundwa kwetu Tanga na anasema nampa kile anataka ila bado haachani na hyo msichana wakati aliahidi kumuacha..!
 
kweli ihamishe bana, mpenzi sio mke, jitahidi atamuacha ila kama ana maagano na wazazi ujue atamuoa huyo wa kwao
 
Tracylyne my dia...kwann upoteze muda na nguvu zako kwa huyo asiye appreciate wakati there are a lot of worthy men!!!
Mkalishe chini mwambie akupe jibu moja! ni wewe au si wewe full stop ayo ya kitandani ayo nadhani ni wewe unataka tu!
heri ata ungenipaga mimi ningeappreciate zaidi yake...
 
Last edited by a moderator:
@ Tracylyne my dia...kwann upoteze muda na nguvu zako kwa huyo asiye appreciate wakati there are a lot of worthy men!!!
Mkalishe chini mwambie akupe jibu moja! ni wewe au si wewe full stop ayo ya kitandani ayo nadhani ni wewe unataka tu!
heri ata ungenipaga mimi ningeappreciate zaidi yake...

dia i have tried nkitok nae haishi kuomba msamaha na he knowz kama nampenda na most ov times anatumia machozi yake kunibembeleza...!
 
wanaume wengine ni waongo sana,unaweza kuta huyo wa kijijini kwao ni mke wake kabisa,usiamini sana maneno ya kuambiwa na huyo mwanaume,kama unaweza fanya utafiti mwenyewe ikiwekana hata wasiliana na huyo wa kijijini ili ujue ukweli
 
kwajinsi nlivofuatilia huyo msichana ni gal tu ambae anakaa nae kitaa Mbezi ila nikimwambia am 4 funny anasema hayupo kiivyo...nashindwa kuelewa ni nn hasa kinamchanganya maana hasomeki....!
 
wewe nenda kajisalimishe mwenyewe polisi kwa kosa la utoaji mimba,kwanini ushike mimba wakati hutaki kuzaa.
 
wewe nenda kajisalimishe mwenyewe polisi kwa kosa la utoaji mimba,kwanini ushike mimba wakati hutaki kuzaa.

kuna anaependa kutoa mimba...!hakuna wangu ila yanini kukizaa kiumbe cha wa2 kije kiteseke duniani...?sio kwamba ckutaka kuzaa na mtoto nilipenda ila ckutaka ateseke!
 
Huyu ni mshika mbili ambaye sharti moja imponyoke. Upendo ni kama barabara yenye njia mbili-ni kutoa na kupokea na kupokea na kutoa. Kama haachani na huyo msichana wake ni dhahiri kuwa anakudanganya hata kukutumia. Lazima kuna kitu kinamfanya asimuache. Jibu unalo sema unaogopa kulikubali. Kama angekufaa basi angekusikiliza. Maana kama ameshindwa kufanya hivi wakati wa uchumba ikifika kwenye ndoana utajuta si kawaida. Ni ushauri tu mwanangu.Fikiri mwenyewe na uamue mwenyewe. Maana siri ya mtungi aijuaye kata.
anampenzi nyumbani kwao ila kila 2kigombana anaomba msamaha 2narudiana na nimetoa mimba yake kwani nmeona hatuna future ila nampenda sana hyu mwanaume...kitandani najitahidi kumpa kile anachostahili kwani nmefundwa kwetu Tanga na anasema nampa kile anataka ila bado haachani na hyo msichana wakati aliahidi kumuacha..!
 
anampenzi nyumbani kwao ila kila 2kigombana anaomba msamaha 2narudiana na nimetoa mimba yake kwani nmeona hatuna future ila nampenda sana hyu mwanaume...kitandani najitahidi kumpa kile anachostahili kwani nmefundwa kwetu Tanga na anasema nampa kile anataka ila bado haachani na hyo msichana wakati aliahidi kumuacha..!

wanaume ndivyo tulivyo...twapenda gegeda wanawake wengi ...wee ata ukatike vipi papuchi nje tutakuwa nayo
 
Mi hayo maujuzi ya Kitanga ndo nayoyataka!!!! Embu niku PM unipe refresher course manake elimu haina mwisho, niongeze ujumvi mie!
 
wewe inaonekana hujajua kumtambua mwanaume anaekupenda kwa dhati, em omba credible xperts kama kina lala 1 wakutengenezee manuscript wakupe, we huyo akupendi hadi anaruhusu damu yake ipotee eti kisa ana mchumba huko kipatimo kisiriri?? m'me anaekupenda ataacha bimboz wote na kuwa na wewe hakubaliani na swala la kutoa mimba koz anakupenda wewe na every shit out of u to him is diamond...wised up
 
atakuwa anapenda vitu vyako na sio wewe kama wewe,, ujue katka mapenzi lazima moyo wa mtu udondoke sehem!! yawezekana mapenz yake ya dhat yapo kwa huyo mwenzio na hawez kumuacha hata kama utampa kila kitu!
ni PM nikushauri zaid coz kuna vingne sio vzur kuvweka hapa
 
Back
Top Bottom