Jaguar
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 3,437
- 1,027
Nchini kenya,kuna sheria iko mbioni kuundwa.Sheria hii itamruhusu mwanamke aliye katika ndoa,ambaye mumewe amepungukiwa nguvu za kiume,kumshtaki mumewe mahakamani na hatimaye kuomba kupewa talaka.Wanaume wengi nchini kenya wameonesha kutoridhishwa na mchakato huo."kama hili tatizo lingekuwa upande wao basi wangepinga vikali mno na hata wangeandamana",walisikika baadhi ya wanaume wakisema baada ya kuhojiwa.(BBC)