Drifter
JF-Expert Member
- Jan 4, 2010
- 5,122
- 5,104
Hereto, silence is gold. RIP officers.Dogo hakuwa gaidi. Angekuwa gaidi angeuwa raia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hereto, silence is gold. RIP officers.Dogo hakuwa gaidi. Angekuwa gaidi angeuwa raia.
Karma is a bitch!Hakika hii ni karma!
Mwana kulitafuta ,mwana kulipata!
Safari hii mmeshikwa papaya, Sijui mlete utetezi upi...Dogo hakuwa gaidi. Angekuwa gaidi angeuwa raia.
Kukaa safu moja na polepole hakika ni kigugumizi cha mwaka!Kumbe ni kada mtiifu wa lumumba,wasiojulikana wanaanza kujulikana, Mungu ni mwema kila wakati.
wako kimya utafikiri sio wao.Bandugu,
Wahenga walisema, "Aombae hupewa". Juzi tu viongozi wetu wa juu kabisa waliiombea Tanzania ugaidi kwa kusingizia wapinzani wao wa kisiasa kuwa ni magaidi. Na kuwakamata na kuwasweka jela. Na kweli maneno yana nguvu ya kuumba. Uongo na ufedhuli wao umemuumba gaidi wa kweli. Bahati nzuri huyo gaidi wa kweli alikuwa hana hamu ya kuua raia wa kawaida. Leo wanausalama 4 wamepoteza maisha yao na wengine 6 kujeruhiwa katika tukio la ugaidi ambao hauna ubishi kabisa. Viongozi wetu na polisi hawataki kabisa kutamka neno ugaidi katika kile kilichotokea leo mbele ya Ubalozi wa Ufaransa. Badala yake ugaidi ni mpinzani kumtumia mtu shilingi laki 6 na kudai katiba mpya! Kwa kile kilichotokea leo, eti kinaitwa uhalifu tu!
Tujihadhari sana na kile tunachoomba. Solomon alipoambiwa aombe chochote alichotaka, hakuomba utajiri. Aliomba hekima. Na alipewa hekima na Mungu.
Usiku mwema wana-JF.
mdogo mdogo itafahamika tuKumbe ni kada mtiifu wa lumumba,wasiojulikana wanaanza kujulikana, Mungu ni mwema kila wakati.
Tuliwambia Magaidi ni hawa hawa maccm mnakataa hii ni nini?Yes Comrade ni kada mtiifu View attachment 1908393
Comrade wa Hamza umerudi kwa ID yako halisi sasa.Dogo hakuwa gaidi. Angekuwa gaidi angeuwa raia.