Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kijana katoka kuvuta bangi kaingia nyumbani moja kwa moja mpaka sebuleni kisha akasimama kumwangalia mgeni aliyeketi katika masofa.
Haraka alikwenda jikoni alipo mama yake na kumuuliza.
Baraka:-Mama yule aliyeketi sebuleni ni nani?
Mam:-Una kichaa wewe yule si baba yako.
Baraka:-Aaah kumbe ndiyo mana naona sura yake siyo ngeni.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Bado zipo kweli maana mtaani watu sura zao kidgo zimenyokaKijana katoka kuvuta bangi kaingia nyumbani moja kwa moja mpaka sebuleni kisha akasimama kumwangalia mgeni aliyeketi katika masofa.
Haraka alikwenda jikoni alipo mama yake na kumuuliza.
Baraka:-Mama yule aliyeketi sebuleni ni nani?
Mam:-Una kichaa wewe yule si baba yako.
Baraka:-Aaah kumbe ndiyo mana naona sura yake siyo ngeni.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Upo ugolo boss!Bado zipo kweli maana mtaani watu sura zao kidgo zimenyoka
Kijana katoka kuvuta bangi kaingia nyumbani moja kwa moja mpaka sebuleni kisha akasimama kumwangalia mgeni aliyeketi katika masofa.