Kweli bangi sio nzuri

Kweli bangi sio nzuri

mababa kuna sehem tunakosea yaani pamoja na bangi kumchanganya jamaa bado aliesahaulika ni baba sio mama
 
FB_IMG_1490101334145.jpg
 
Mkuu tuko karne ya 2000 tutaendelea kubaki Bange mbaya bange mbaya.serikali haina uwezo wa kuwapa wangonjwa wa cancer angalau dawa za kutuliza maumivu wenzetu nchi zilizoendelea wamegundua bange inayopandwa na kufuatiliwa kisayansi inasaidia kama dawa kwa wagonjwa wa cancer na mengineyo sie tumebaki bange bange.nakumbuka mzee Kenyatta alisema enzi za mau mau akiwaambia watanzania "uchumi mnao mwaukalia"
 
Je ni kweli kwamba matumizi ya bangi huleta matokeo hasi tu?
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom