Kweli Biden kazeeka, amwita Zelensky President Putin!

Kweli Biden kazeeka, amwita Zelensky President Putin!

halafu ndo wanasema ni alien.. sisi kama alien tumegoma hicho kibabu sio chenzetu hatumjui, heri muishie hapohapo kwe u robot alien gani hana hata mbwembwe!
 
Nimecheka sana... Ni kama vile wewe nikuite kwa jina la adui wako...

Ana mambo yake fulani kama mtoto...
Akiwekewa red carpert hapiti anaelekea vichakani mpaka ashikwe mkono...


Cc: Mahondaw
😂😂😂😂😁

Akili zake anazijua mwenyewe walai
 
Mzee Biden aachie ngazitu.
Jioni hii amemwita Zelensky President Putin. Katika mkutano mkuu wa NATO.
Mzee Putin waachie vijana ursis.
Huyo kesha zikwa kitambo na badala yake kuna mtambo tu ndio unaiongoza hiyo nchi
 
Wengi wanaomsapoti Putin wanatamani joe Biden aendelee Ili wapate nafasi ya kuingia white house kiulani,
Democrats wakifanya makosa na kuendelea kumbakiza Biden watakuwa wametoa free ticket kwa Trump kuelekea white house

Ukweli uliopo wazi ni kwamba wamarekani wengi hawaoni mgombea yeyote wa kuwafaa kati ya Biden na Trump.,

Lakini ikiwa democrats watarekebisha makosa na kuweka mgombea mwingine,basi mzee mzima trump ni vyema akajiengua mapema maana ndoto zake kuelekea white house zitakuwa zimezimwa na kuzikwa kabisa,
Ponapona ya Donald trump ni kuomba rais Biden aendelee kuwepo Kama mgombea wa democrat
 
Hapana kuchapia wala sio kuzeeka Biden amekuwa akifanya hizi blunder since way back, labda useme kwa sasa with all things considered this portrays him even worse....

All in all hata akiachiwa Kamala I can not see her beating Trump...
 
huyo mzee ni km mzee wangu umri mkubwa ila ving'ang'anizi sana mzee wangu ana 65 anaendeshaga boda kwenda kwenye mishe zake nimeshamwambia mara nyingi umri huo sio rafiki na mapikipiki ila mbishi.
65 bado kijana kabisa.
 
Mzee Biden aachie ngazitu.
Jioni hii amemwita Zelensky President Putin. Katika mkutano mkuu wa NATO.
Mzee Putin waachie vijana ursis.
Huo si uzee tu hata ugonjwa unachangia pia ..

Hata Trump ni Mzee ila bado ana kumbukumbu nzuri.
 
Huyu anapigia chapuo ushoga , sasa anaadhiriwa na Mola!
Quran:
Ibrahim 14:42

وَلَا تَحْسَبَنَّ ٱللَّهَ غَٰفِلًا عَمَّا يَعْمَلُ ٱلظَّٰلِمُونَۚ إِنَّمَا يُؤَخِّرُهُمْ لِيَوْمٍ تَشْخَصُ فِيهِ ٱلْأَبْصَٰرُ


"And never think that Allāh is unaware of what the wrongdoers do. He only delays them [i.e., their account] for a Day when eyes will stare [in horror]."



"Wala usidhani Mwenyezi Mungu ameghafilika na wanayo yafanya madhaalimu. Hakika Yeye anawaakhirisha tu mpaka siku yatapo kodoka macho yao."
 
Back
Top Bottom