Wengi wanaomsapoti Putin wanatamani joe Biden aendelee Ili wapate nafasi ya kuingia white house kiulani,
Democrats wakifanya makosa na kuendelea kumbakiza Biden watakuwa wametoa free ticket kwa Trump kuelekea white house
Ukweli uliopo wazi ni kwamba wamarekani wengi hawaoni mgombea yeyote wa kuwafaa kati ya Biden na Trump.,
Lakini ikiwa democrats watarekebisha makosa na kuweka mgombea mwingine,basi mzee mzima trump ni vyema akajiengua mapema maana ndoto zake kuelekea white house zitakuwa zimezimwa na kuzikwa kabisa,
Ponapona ya Donald trump ni kuomba rais Biden aendelee kuwepo Kama mgombea wa democrat