Kweli Biden kazeeka, amwita Zelensky President Putin!

Mungu ni mwingi wa rehema ndio maana anawapa umri mrefu sana madhalimu hapa duniani ili huenda wakarudi na kutubia na pia ni mkali sana wa kuadhibu kwa maana ya kwamba akiwakamata madhalimu huwa hawana pa kutokea
 
"Mzee Putin waachie vijana ursis."

Nawe umezeeka waachie vijana JF.
 
Kuna kipindi Biden aliwahi kusema wahanga wa kimbunga Katrina wanatakiwa wapatiwe chanjo ya corona ili kuepukana na kimbunga.
 
Mzee Biden aachie ngazitu.
Jioni hii amemwita Zelensky President Putin. Katika mkutano mkuu wa NATO.
Mzee Putin waachie vijana ursis.
Huo ni Utabiri kwamba Zele atachukua ushindi kwenye vita inayoendelea baina ya Ukraine vs Urusi na atakikalia kiti cha Putin.
 
kwa wanaojua siasa za marekan je kuna uwezekano Biden akaondolewa kugombea
 
Democrats hawana mtu wa kumzuia Trump kuingia ikulu kwa sasa
 
Putin punguza kasi, unaumiza watu, ona sasa zelensky anaita putin 🤣
 
Hivi hafanyi kusudi kweli?
Hapana hafanyi kusudi na yeye sio wa kulaumiwa. Wamarekani wenye umri mwafaka walikuwa wapi wakati Mzee Biden anagombea? Je, waliompigia kura hawakuwa na akili? Wamuache Mzee wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…