Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Tungependa utueleweshe roho ni nini, inakaa wapi katika mwili wa binadamu na kazi yake ni nini, na wala sio kushambulia atheists.
Dirk, you know for sure and fact that Kiranga has no ability to support her notions. Non theist always demanding physical proof of a non-physical entity which is asinine, because non theists are too intellectually lazy to think through evidence.
Kwa hiyo roho ni neno lingine la kumaanisha uhai tu?
Roho ni nini?, inakaa wapi katika mwili wa binadamu na kazi yake ni nini?
Why applaud another avoidance maneuver? None of you can address the argument. You dodged it too.
Your poster is just a silly way of saying non theism is intellectually lazy. In other words, you're clueless and have no argument.
.....mimi nafahamu roho=uhai
Roho ndio iletayo huai, Pasipo Roho hakuna uhai
Tungependa utueleweshe roho ni nini, inakaa wapi katika mwili wa binadamu na kazi yake ni nini, na wala sio kushambulia atheists.
Na mimi nitamtupia huko muda sio mrefu, maana hakuna anachoweza kuelezea zaidi ya kutukana tu, mara you are silly, you are mindless na maneno mengine ambayo hayatoi ufafanuzi wowote wa tunachokijadili, kwa hiyo to argue with such people, is to waste valuable time.Huyo yupo ignore list muda tu, hata sioni anachoandika mpaka anukuliwe.
Kajishusha huko mwenyewe.
Unawezaje kuthibitisha hili kwa ushahidi madhubuti ili tufahamu kwamba unachosema ndicho na si habari za mapokeo tu zisizo na ukweli?
You just presented some of the best psudeo science I have ever seen. lolUnagofautishaje roho na uhai katika context yako?
Huoni kwamba unauita "uhai" roho tu na hakuna roho?
Kwa hiyo roho ni neno lingine la kumaanisha uhai tu?
Roho hiyo siyo phyiscal bali ni spirit watu wengine wanasemaga *amekata roho
*anaroho mbaya au nzuri
ana roho ngumu kama ya paka
ana roho nyepesi
something like 'wil'
Tungependa utueleweshe roho ni nini, inakaa wapi katika mwili wa binadamu na kazi yake ni nini, na wala sio kushambulia atheists.
Binafsi hiki kitu nina kiishi, kuna wakati naweza nikawa sehemu fulani ghafla najikuta naona kitu kinacho endelea sehemu nyingine, hiki kitu hua kinatokea katika hali mbili; moja inaweza ikakutokea ukiwa na fahamu na ukatambua kinacho endelea, amba ukahamishwa kiroho kabisa usiweze jua chochote kinacho endelea na hapo mwili hubaki bila matunda.Kwa kifupi, Roho ni kiumbe kisicho na mwili ila kina uwezo wa kuingia katika mwili na kikafanya yale kinacho taka, na katika mwili kuna uwezekano wa kukaa roho zaidi ya moja na zote zikafanya kazi kutegemea na wakati na mazingira.
Tungependa utueleweshe roho ni nini, inakaa wapi katika mwili wa binadamu na kazi yake ni nini, na wala sio kushambulia atheists.
Roho ni nini?, inakaa wapi katika mwili wa binadamu na kazi yake ni nini?
Na mimi nitamtupia huko muda sio mrefu, maana hakuna anachoweza kuelezea zaidi ya kutukana tu, mara you are silly, you are mindless na maneno mengine ambayo hayatoi ufafanuzi wowote wa tunachokijadili, kwa hiyo to argue with such people, is to waste valuable time.
Bunch of malarkeyHujajibu swali.
Unawezankuwa na upungufu wa madini ya chuma katika damu na ubongo wako kukosa hewa ya oxygen na hayo yakakufanya uone mauzauza uliyoyasema.
Unawezaje kuhakikisha kwamba roho ipo na si matokeo ya mapokeo potofu tu?
Right on ......Roho hiyo siyo phyiscal bali ni spirit watu wengine wanasemaga *amekata roho
*anaroho mbaya au nzuri
ana roho ngumu kama ya paka
ana roho nyepesi
something like 'wil'
KirangaUnawezaje kuhakikisha kwamba roho ipo na si matokeo ya mapokeo potofu tu?