Binafsi hiki kitu nina kiishi, kuna wakati naweza nikawa sehemu fulani ghafla najikuta naona kitu kinacho endelea sehemu nyingine, hiki kitu hua kinatokea katika hali mbili; moja inaweza ikakutokea ukiwa na fahamu na ukatambua kinacho endelea, amba ukahamishwa kiroho kabisa usiweze jua chochote kinacho endelea na hapo mwili hubaki bila matunda.Kwa kifupi, Roho ni kiumbe kisicho na mwili ila kina uwezo wa kuingia katika mwili na kikafanya yale kinacho taka, na katika mwili kuna uwezekano wa kukaa roho zaidi ya moja na zote zikafanya kazi kutegemea na wakati na mazingira.