OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri.
Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio kweli.
Ukiwasikiliza wachezaji wanaowataja ni wa Simba Sc tu dakika zote, kama vile Simba inacheza peke yake.
Kumbe ni muhuni tu kajifungia uswazi huko Tandale anatangaza mpira unaochezwa huko Misri