OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
matokeo yapo vp mpaka sasa?Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri.
Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio kweli.
Ukiwasikiliza wachezaji wanaowataja ni wa Simba Sc tu dakika zote, kama vile Simba inacheza peke yake.
Kumbe ni muhuni tu kajifungia uswazi huko Tandale anatangaza mpira unaochezwa huko Misri
Simba 2-0 Qananmatokeo yapo vp mpaka sasa?
Hahhaha nawe huna tofauti na wao.Simba 2-0 Qanan
14' Ahoua
16' Ahoua
Mimi nipo Simba App, wanatoa updatesHahhaha nawe huna tofauti na wao.
Tupe updates mkuu,Mimi nipo Simba App, wanatoa updates
Ndio hizo chanel uchwara zilitangaza Simba kafungwa 6..hivi Simba haioni kama hivi vyanzo vya mapato kwa kiwashtaki kwa kuharibu Brand.Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri.
Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio kweli.
Ukiwasikiliza wachezaji wanaowataja ni wa Simba Sc tu dakika zote, kama vile Simba inacheza peke yake.
Kumbe ni muhuni tu kajifungia uswazi huko Tandale anatangaza mpira unaochezwa huko Misri
Swali zuri sana. Uzushi mwingi unaachwa unaoharibu brand tena wengine ni watu wanaofikika na kujulikana kabisa wanausambaza kwa kisingizio cha utani wa jadi.Ndio hizo chanel uchwara zilitangaza Simba kafungwa 6..hivi Simba haioni kama hivi vyanzo vya mapato kwa kiwashtaki kwa kuharibu Brand.
Niliwahi kusema, hao TCRA na vyombo vya dola ukiigusa tu Serikali na viongozi wake ndiyo wana deal na wewe, huku kwingine ni Wild Wild West.Kuna hii mechi ya preseason ya Simba Sc huko Misri.
Huko Youtube kuna Channels za hapa Bongo zinatangaza mechi live. Wale jamaa wanatangaza mechi as if kweli wao wanaitazama. Kitu ambacho sio kweli.
Ukiwasikiliza wachezaji wanaowataja ni wa Simba Sc tu dakika zote, kama vile Simba inacheza peke yake.
Kumbe ni muhuni tu kajifungia uswazi huko Tandale anatangaza mpira unaochezwa huko Misri
yAan huko youtube walinifanya hadi nipunguze kuingia kuangalia mambo ya bongoMzee magufuli alipozifungia hizi channel watu tulimponda sana ila hawa jamii ni wangese sana. Wanaweza kuandika Heading YouTube kumbe kilichopo ndani sio chenyewe
Kukata mzizi wa fitna mechi zioneshwe live.Ndio hizo chanel uchwara zilitangaza Simba kafungwa 6..hivi Simba haioni kama hivi vyanzo vya mapato kwa kiwashtaki kwa kuharibu Brand.