Kweli CCM ina wenyewe, Nape alisema ukweli. Hawa ndio wenye CCM wengine wamevamia!

Kweli CCM ina wenyewe, Nape alisema ukweli. Hawa ndio wenye CCM wengine wamevamia!

Polepole na Bashiru hawamo?

IMG_20211213_115246_235.jpg

Hao si ndiyo viroboto mkuu?
 
halafu wote watoto wa mama mdogo PATAMU hapo.

ila YESU hajawahi kushindwa tunakwenda KUWASHINDA KWA KISHINDO.

MUDA UTAONGEA.
 
Nape aliposema CCM ina wenyewe wengi hawakumuelewa! Nape alimaanisha kuwa CCM imeshikiliwa na kundi fulani la watu wenye nguvu na ushawishi wao ndio huamua wanamtaka nani ndani ya CCM na nani hawamtaki!

Lakini kwa bahati mbaya kundi hili 2015 lilijichanganya likamkabidhi mshikaji mmoja usukani wakiwa na matumaini tofauti kinyume chake akawageuka na kuleta watu wapya!
Hivyo wenye CCM yao walinyooshwa kweli kweli kwa hiyo hawana jinsi ya kutamba Sasa kwani kupitia Samia wamerudisha udhibiti. Tunaposema wenye CCM tuna maanisha watu wanaosikilizwa na wenye sauti ndani ya CCM na ndio waongoza nchi!

Lakini kwenye hii orodha bahati mbaya Nape nae sio mmoja ya wenye CCM bali ni mpambe tuu kama pole pole!

Hii ndio Orodha ya wenye CCM

1.Jakaya Mrisho kikwete na Familia yake.
2.Yusuphu Makamba na Familia yake.
3.Mzee Kinana Na familia yake...
4.Bulembo na familia yake.
5.Dk Shein na Familia yake.
6.Ally Hassani mwinyi na Familia yake!
7.Samia Suluhu na familia yake!
8.Karume na familia yake

Hivyo waliobaki na ambao ni wana CCM na awapo kwenye orodha ya hizo familia wajijue kuwa wao ni wapitaji tuu na sio wana CCM bali ni wavamizi!
Tangulia kwa Mangi agiza mtori, nakuja kulipa! na wote wamerudi kwa kasi ya 5G ila umemsahau mmoja ambaye ndie Godfather ila kajificha yule burushi mwenye asili ya Iran.
 
Wanaobeza Samia & family hamuelewi tu hiyo combi inaaply kwenye Mwinyi family pale juu!
Kuna mdau kasema Nape ni mvamizi kama pole pole nop napinga
Mshua wake marehemu
Mzee Moses Nauye alikua kwenye top chain za CCM na baada ya kufariki familia ya kina Nape akakabidhiwa Mzee Kinana kama father mlezi

Anyway
CCM inawenyewe!
Nnauye sie babaake ni mlezi tu bana,watoto wa Nnauye wenyewe hawana makeke na wana maisha yao!
 
Nyerere family
Lowasa family
Kugisi family
Hawa hawana lolote na Mzee Lowassa kwa sasa hana ushawishi wowote kabaki jina na heshima tu sawa na akina Mzee Msekwa /Malechela/Sumaye/Msuya/Warioba/Butiku. wengine ni wagonjwa hawajui kinachoendelea kama komandoo na sas.
 
Ndio maana Nape hayupo kwenye List yeye ni mpambe tuu mtafuta cheo
Kwenye listi amesahauliwa tajiri wa kibrushi mwenye asili ya iran, huyu ndie kila kitu ndie bwana michongo.
 
Baasi kwa list hii polepole hana nguzo ya kujivunia
 
Wanaobeza Samia & family hamuelewi tu hiyo combi inaaply kwenye Mwinyi family pale juu!

Kuna mdau kasema Nape ni mvamizi kama pole pole nop napinga

Mshua wake marehemu

Mzee Moses Nauye alikua kwenye top chain za CCM na baada ya kufariki familia ya kina Nape akakabidhiwa Mzee Kinana kama father mlezi

Anyway
CCM inawenyewe!
Na mama yao alikabidhiwa kwa Kinana au mama hapana? Mbona Nape siyo mtoto wa Nnauye?
nnauye.jpg
 
Hujui chochote kuhusu CCM, unadhani CCM ni sawa na CHADEMA! Wenye CCM ni wale waliolelewa na kukulia ndani ya CCM. Sio mamluki kama akina Polepole.
Mbona hawana elimu ya maana zaidi ya kucheza chipukizi? Yaani baadaye tunatawaliwa na elimu duni, au?
 
Nape aliposema CCM ina wenyewe wengi hawakumuelewa! Nape alimaanisha kuwa CCM imeshikiliwa na kundi fulani la watu wenye nguvu na ushawishi wao ndio huamua wanamtaka nani ndani ya CCM na nani hawamtaki.

Lakini kwa bahati mbaya kundi hili 2015 lilijichanganya likamkabidhi mshikaji mmoja usukani wakiwa na matumaini tofauti kinyume chake akawageuka na kuleta watu wapya.

Hivyo wenye CCM yao walinyooshwa kweli kweli kwa hiyo hawana jinsi ya kutamba Sasa kwani kupitia Samia wamerudisha udhibiti. Tunaposema wenye CCM tuna maanisha watu wanaosikilizwa na wenye sauti ndani ya CCM na ndio waongoza nchi!

Lakini kwenye hii orodha bahati mbaya Nape nae sio mmoja ya wenye CCM bali ni mpambe tuu kama pole pole!

Hii ndio Orodha ya wenye CCM

1. Jakaya Mrisho kikwete na Familia yake
2. Yusuphu Makamba na Familia yake
3. Mzee Kinana Na familia yake
4. Bulembo na familia yake
5. Dk Shein na Familia yake
6. Ally Hassani mwinyi na Familia yake
7. Samia Suluhu na familia yake
8. Karume na familia yake

Hivyo waliobaki na ambao ni wana CCM na awapo kwenye orodha ya hizo familia wajijue kuwa wao ni wapitaji tuu na sio wana CCM bali ni wavamizi!
Kwenye#1 msisahau Dr Membe &family. Laigwanani naona kashatupwa Tena Kama kawa
 
Back
Top Bottom