Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Kama njia fupi na rahisi ipo why upite njia ndefu?Mbona hawana elimu ya maana zaidi ya kucheza chipukizi? Yaani baadaye tunatawaliwa na elimu duni, au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama njia fupi na rahisi ipo why upite njia ndefu?Mbona hawana elimu ya maana zaidi ya kucheza chipukizi? Yaani baadaye tunatawaliwa na elimu duni, au?
Unanikumbusha walioamua kuwa changudoa badala ya kuendesha saloon.Kama njia fupi na rahisi ipo why upite njia ndefu?
Wengine umeogopa kuwataja?Nape aliposema CCM ina wenyewe wengi hawakumuelewa! Nape alimaanisha kuwa CCM imeshikiliwa na kundi fulani la watu wenye nguvu na ushawishi wao ndio huamua wanamtaka nani ndani ya CCM na nani hawamtaki.
Lakini kwa bahati mbaya kundi hili 2015 lilijichanganya likamkabidhi mshikaji mmoja usukani wakiwa na matumaini tofauti kinyume chake akawageuka na kuleta watu wapya.
Hivyo wenye CCM yao walinyooshwa kweli kweli kwa hiyo hawana jinsi ya kutamba Sasa kwani kupitia Samia wamerudisha udhibiti. Tunaposema wenye CCM tuna maanisha watu wanaosikilizwa na wenye sauti ndani ya CCM na ndio waongoza nchi!
Lakini kwenye hii orodha bahati mbaya Nape nae sio mmoja ya wenye CCM bali ni mpambe tuu kama pole pole!
Hii ndio Orodha ya wenye CCM
1. Jakaya Mrisho kikwete na Familia yake
2. Yusuphu Makamba na Familia yake
3. Mzee Kinana Na familia yake
4. Bulembo na familia yake
5. Dk Shein na Familia yake
6. Ally Hassani mwinyi na Familia yake
7. Samia Suluhu na familia yake
8. Karume na familia yake
Hivyo waliobaki na ambao ni wana CCM na awapo kwenye orodha ya hizo familia wajijue kuwa wao ni wapitaji tuu na sio wana CCM bali ni wavamizi!